Maasai waliofukuzwa ngorongoro wanateseka sana hawana utulivu

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,990
8,367
Kusema kweli Rais Samia alifanya makosa makubwa sana kuwaondoa wamasai kwenye ardhi yao ya asili

Ni km leo uende Pemba uwahamishe wapemba kuwapeleka mafia,ardhi ya wapemba wapewe waarabu


Ni mwaka sasa toka wamasai wasombwe kwa nguvu kwenye malori ya mizigo na kupelekwa ugenini

Uko ugenini wamebaki wamasai wazee tu wasio weza kutembea ila wengi wamerudi arusha wamekuwa wakiishi kwa kutanga tanga hawana kwao tena

Wengi wanalia kuona walipofukuzwa kuna wageni wanakanyaga ardhi yao huku wao wasiruhusiwe kusogeza pua

Rais Samia tunakuomba warudishie wamasai ardhi yao,usiogope kuwaondoa hao wageni
Ulichofanya unatengeneza Taifa la kulipa kisasi

Ipo siku kiongozi mkuu wa nchi atatoka kaskazini atataka kulipa kisasi atataka naye awaonjeshe machungu wazazinzibari kuwahamisha kwao kwa nguvu

Tunaomba Rais samia uhuru ni bora kuliko fedha


Ni bora kulala njaa kwenye ardhi ya mababu zetu kuliko shibe ugenini


Tunakuomba sana warudishie wamasai ardhi yao na uwaondoe wale wanaokuja kimya kimya
 
Huyu Mzanzibari mwishowe atawauzia Waarabu Ikulu ya Dar es Salaam kwa hoja kuwa ilijengwa na wajomba zake Waarabu!
 
Umenikumbusha Magufuli ndiye alitengeneza hati ya eneo la ikulu.. alisema bahati nzuri hakunaga aliyejitokeza na kusema eneo lile ni lake. Vinginevyo ipo siku wangeondolewa.
Hii nchi Uhuru umezidi, yaani hata ikulu haikuwa na hati ya kiwanja chake!
 
Sasa hivi Sera Ni
Uza, uzia waarabu, kopa kopa pesa nyingi, tozo, kamua wananchi, hamisha wamasai uzia waarabu. Uza kila kinachouzika.
 
Huu mkataba wa kuuza ngorongoro na kuwafurusha wamasai hauna tofauti na huu wa kuuza bandari, kuna mtu anajitahidi sana kuturudisha kwenye utumwa.​
 
Back
Top Bottom