Maandishi yananitesa kuandika

Maandishi yananitesa kuandika

SwahiliScribe

New Member
Joined
Jun 5, 2025
Posts
4
Reaction score
2
Habari zenu wapendwa wanajukwaa.

Nawasilisha, kama wewe ni mwanafunzi, mwalimu, au mtafiti anayekumbana na changamoto za kuandaa maandishi bora, basi usiwe na wasiwasi! Nimekuwa nikitoa msaada kwa watu mbalimbali katika kazi za maandishi, na niko tayari kusaidia hapa pia.

Naweza kukusaidia katika vipengele hivi:
  • Kusahihisha na kuhariri maandiko (Proofreading & Editing).
  • Kuandaa assignments au presentations.
  • Kazi ndogo ndogo za Excel kwa wanafunzi au biashara.
  • Kuandika subtitles kwa video za elimu au content nyingine.
  • Kutafsiri (English to Swahili).
  • Na kazi nyingine ndogo ndogo zinazohusiana na maandiko.
Lengo kuu ni kufanya kazi zako ziwe safi, na zenye kueleweka.
Najua changamoto ya muda na jinsi deadline zinavyoweza kukaba, hivyo niko hapa kwa msaada wa dharura au wa kudumu kwa anayehitaji.

Karibu tuongee, kuuliza, na hata kupata ushauri, hakuna shida kabisa.
 
Hongera mkuu, pia jiunge Upwork
Ahsante sana mkuu kwa ushauri mzuri! Nitalifanyia kazi hilo suala la Upwork, naamini linaweza kunisaidia kupanua wigo zaidi, ingawa kwa sasa natumia jukwaa la ProZ 🙏.
 
Back
Top Bottom