maandamano yana anzia wapi'? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maandamano yana anzia wapi'?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Dec 28, 2010.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  janani maandamano yana anzia wapi asubuhi hii kwa sababu nikikosa kwenye maandamano sitakuwa mwana harakati tosha yataanzia makao makuu ya ofic za chadema au ni wapi'? Ni vyema nikajua ili nitengeneze bango kubwa nitakalo libeba likiwa na maandishi makubwa yanayo sema katiba ni haki yetu na kupanda kwa ghalama za umeme ni unyonyaji
   
Loading...