Ukiwasikiliza muda huu wanasema wazi wazi.
Wanasema “Leo watu walibanwa ndo maana hajatoka mtu.”
Wanajijua wapo wachache mno ila wanategemea vikundi vya watu wasio na hatia waingia na kuleta vurugu ili walinda amani wakivamia kikundi waonekane wana supporters wengi
Kama mwizi anavyochoropoka kuingia kwenye mitaa yenye watu wengi akijua wingi watu utafanya asidakwe kirahisi.
Kama kweli wanaharakati wapo wengi leo wote wangetoka tuone uhalisia wa kundi lao, lakini walivyoona mitaa haina watu wakaufyata na kuanza kurusha clip eti Mwanza hivi, Tegeta kile kumbe UONGO MTUPU.
Kama kweli mpo wengi wenye movement zenu leo mgetoka bila kujali kuwa wananchi wengine wametoka au la. Mkabaki kuandamana online na account zenu kumi kumi.
Plan ilikuwa wauawe wengi ili maiti za ndugu zetu iwe leverage yenu ya kisiasa laki mmefeli.
HUU NDO UKARASA WA MWISHO WA MAANDAMANO TANZANIA. BAADA YA LEO MSIJIDANGANYE TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA