Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Wewe inaelekea ni Polisi unaficha udhaifu wako. Fuatilia vizuri ni matukio mangapi ya uhalifu huko New York kwako ambayo huwa yanapotezewa bila kufuatiliwa kama wanavyofanya polisi wa huku, then fuatilia ni polisi wangapi huko New York wanapokea rushwa, then fuatilia polisi wanaoshirikiana na wezi huko ndo uje uwasifie hawa polisi wenzako ambao ni irresponsible na lazyWe unaonge pumba gani? Kuna nchi zenye police imara kama Marekani, Uingereza na nyinezo zilizoendelea! Lakini kiwango cha uhalifu kwa saa moja ndani ya Newyork kikoje? mauaji yakoje? inamaana nao hawawajibiki? Polisi hawezi kuwa kila mahala kwa kila tukio unless wawe wanapiga ramli! wahalifu nao ni wajanja! wa disclose information ni sisi raia wema sio kila kitu kitazuilika!
Hili suala la wanafunzi wa vyuo kufanyiwa haya mambo lipo muda mrefu naa taarifa zinatolewa polisi hazifanyiwi kazi mpaka waandamane.Nafikiri wakuu wa kipolisi wa mikoa yenye vyuo vingine waimarishe ulinzi kwa vyuo hivyo wasingoje mpaka wanafunzi waandamane.
watuhumiwa ni hao polisi.
Bado kidogo vibaka wa Mwanza nao watagundua kuna deal kwa wanavyuo (laptops, simu na cameras); nafikiri publicity ina kanegative influence kwenye hili.
ndo maana pale udsm ilikuwa mwizi akikamatwa lazima auawe
wanaoingoza hii nchi wanashughulikiwa na mapopobawa kila uchao. unategemea nini??hvi kubaka kuna mahusiano gani na kuiba jamani!
kwani si uniibie tu uniache na kubaka tena ili kiwe nini?
hii style imetoka wapi hii!
hao wezi wana kisasi gani na wanavyuo?
kuna nini hapa?
leo ST JOHN,juzi ilikuwa IFM kuna nini?
nini kinaendelea zaidi ya hiki?
vyuo vinapofumbia macho swala hl nini athar zake?
polisi wanapoona ni swala binfsi kuna nini?
nini kipo nyuma ya nini hapa SIELEWI!kusema ukweli!serious sielewi!
poleni sana wanachuo na wengine wote
Wanafunzi wapatao 5000 hivi wa chuo cha St John wanaandamana kutaka jeshi la polisi liwajibike kwa mauaji yanayoendelea kutokea ndani ya chuo yanayofanywa na vibaka na majambazi.
Ikumbukwe juzi jumatatu mwanachuo ameuawa kikatili na kuporwa simu,jana hosteli za akina dada zilivamiwa na laptops,simu na fedha kuibwa na wanafunzi kupigwa vibaya.Majambazi hayo ktk tukio la jana waliwabaka na kuwalawiti wanachuo kadhaa.
Maandamano ni makubwa sana,RPC kaingia kwa VICE Chancellor kwa mazungumzo,mbaya zaidi wanafunzi wanaelekea kituo cha polisi na kuna wasiwasi zikatokea vurugu kubwa na msuguano na polisi.
huu mwaka mpaka unaisha maboys wengi wa chuo watakuwa wameliwa 0713 ulinzi usipoimalika