Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Nchi isitawalike kwa nini,? mbona Police wameshamkamata mtuhumiwa na yuko Rumande? Yani watu kwa kupenda vurugu na polisi bana! hadi kero!
Sasa kwa nini wamewazomea, na wanaandamana kuelekea wapi kuwasilisha hayo madai yao? Mi nadhani ipo haja ya kutumia busara zaidi katika kuyapatia ufumbuzi hayo madai yao kuliko kutumia jazba ambazo mara nyingi huwa hazitoi ufumbuzi stahiki.
Nchi isitawalike kwa nini,? mbona Police wameshamkamata mtuhumiwa na yuko Rumande? Yani watu kwa kupenda vurugu na polisi bana! hadi kero!
mwanza mbona wanafunzi wanalizwa sana waulize SAUTBado kidogo vibaka wa Mwanza nao watagundua kuna deal kwa wanavyuo (laptops, simu na cameras); nafikiri publicity ina kanegative influence kwenye hili.
Bado kidogo vibaka wa Mwanza nao watagundua kuna deal kwa wanavyuo (laptops, simu na cameras); nafikiri publicity ina kanegative influence kwenye hili.
Bado kidogo vibaka wa Mwanza nao watagundua kuna deal kwa wanavyuo (laptops, simu na cameras); nafikiri publicity ina kanegative influence kwenye hili.
Basi watusaidie na
kurudisha uhai wa huyo mwanafunzi wa Dodoma,,,, maana wangetimiza wajibu
wao mwanafunzi asingeuwawa kwani wangedhibiti huo uhalifu. Maisha
yamepotea kirahisi kabisa. Hakuna jeshi la polisi nchi hii ni genge la
wala rushwa tu
Tatizo letu ni jinsi tunavyowapata polisi wetu na siasa zilizopo katika jeshi la polisi. Siku hizi kama una mjomba,baba au ndugu yeyote polisi unaweza kuingia na kuupata upolisi kirahisi sana.Zamani polisi walijiunga na jeshi hilo wakitokea mashuleni moja kwa moja kwa kupendekezwa na walimu kutokana na sifa zao. Kwa nini wasiboreshe mfumo ule wa zamani ili kupata polisi wenye tija na nidhamu na ufanisi zaidi.