Maandamano ya wana JF je nayo serikal itayapinga?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya wana JF je nayo serikal itayapinga??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LEGE, Nov 10, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Wadau wa jf mim nilikuwa na wazo kuwa yaitishwe maandamano ya nch nzima kupinga ushoga tz.
  Wana jf waliopo kila mkoa na wilaya wafanye mchakato wakukutana na kuomba kibali cha kufanya maandamano hayo ya aman.
  Na wana jf wote watakao kubaliwa kufanya maandaman wawahamasishe wananch kwenye vyombo vya habari.
  Kwa mkoa wa dar ningependa maandamano yaishie ikulu kwa mheshimiwa jk yakifuatiwa na mkutano wa hadhara ambao utamtaka jk atoe msimamo wake na kauli juu ya ushoga.
   
Loading...