Maandamano ya nchi nzima

Habari wana Jf
kama kesho kutakuwa hakuna mabadiliko yoyote ktk baraza la mawaziri ,wanainchi tutumie haki yetu kikatiba kuandamana kushinikiza mabadiliko.
si ndo leo sasa badae badae hivi tusubiri hatma ya hawa majambazi wa kalamu
 
Ntakubali iwapo lengo litakuwa kumwondoa kikwete madarakani kwani yeye ndo chanzo cha madudu yote.
 
Mabadiliko muhimu. Wakianza mawaziri wafatie watendaji wa chini pia vinginevyo hali itakuwa ile ile.
 
Count me out!!! I still want to live. I can make a difference while alive not otherwise!!!
Habari wana Jf
kama kesho kutakuwa hakuna mabadiliko yoyote ktk baraza la mawaziri ,wanainchi tutumie haki yetu kikatiba kuandamana kushinikiza mabadiliko.
 
Back
Top Bottom