Usiamshe watu Wanaolilia hayo maandamano kwa usongo
Watu washachoka na haya Madhambi ya Wazi Waziwazi tena Mchana Kweupe..
Wakati huu sidhani kama ni Muafaka Target CDM walishaikosa kwenye ile Operation yao Sangara na haiji tena...Nchi ilitia Adabu bidhaa Muhimu zikashuka Ikaja ya Mafuta Hawakuhamasisha walikaa kama na wao ni Serikali, Dowan kama Kiini macho
Labda mmh Tuone kama kutatokea Shida Nyingine kubwa