Wana Jf naomba kujuzwa haya maandamano yataanza lini ninayasubiri kwa hamu sana tumechoka na ufisadi inauma sana jinsi watu hawa wanavyo tufanyia.
Porojo tupu. Hakuna maandamano wala nini.
Mmesahau ya Mwingereza na kundi lake?
Next week ninanuka.