Maandamano ya LHRC

Ados

Senior Member
Feb 26, 2011
117
20
Wana Jf naomba kujuzwa haya maandamano yataanza lini ninayasubiri kwa hamu sana tumechoka na ufisadi inauma sana jinsi watu hawa wanavyo tufanyia.
 
Jamani hv kesho kuna maandamano? Na hapa ARUSHA NA MOSHI yataanzia wapi? Na ni sa ngapi? nifahamisheni mana nimechoka na matatizo ya hawa magamba liwalo na liwe.
 
Wana Jf naomba kujuzwa haya maandamano yataanza lini ninayasubiri kwa hamu sana tumechoka na ufisadi inauma sana jinsi watu hawa wanavyo tufanyia.

Tulieni bado jamaa wanajipanga namna ya ku-coordinate,maana inatakiwa yafanyike nchi nzima kwa muda mmoja...
 
porojo tu za wachache

kama tunashindwa kuandamania ugali na maharagae tutaweza dowans?
 
Najua muda huu FFU wanafanya mazoezi, jipendekezeni muone.
 
hakuna cha maandamano wala nini,...
Ni sawa na kuisha mafuriko Dar wakati wa mvua za vuli
 
Usiamshe watu Wanaolilia hayo maandamano kwa usongo
Watu washachoka na haya Madhambi ya Wazi Waziwazi tena Mchana Kweupe..

Wakati huu sidhani kama ni Muafaka Target CDM walishaikosa kwenye ile Operation yao Sangara na haiji tena...Nchi ilitia Adabu bidhaa Muhimu zikashuka Ikaja ya Mafuta Hawakuhamasisha walikaa kama na wao ni Serikali, Dowan kama Kiini macho

Labda mmh Tuone kama kutatokea Shida Nyingine kubwa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom