Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

<br / ondoa upupu wako hapa we c unaishi KWAMTOGORE umejileta hapa jf unadanganya mbembers kuwa uko USA! acha upuuzi wk jaribu ku2mia akili japo kidogo kikwete ni kiongoz mbovu na hafai kupongezwa

...kama mngechukua muda kufikiria ni kwa lipi hasa mmeamua kumsapoti JK, msingefikia hatua ya kuleta mada hii hapa JF. Lakini kwa kuwa mnaongozwa na ubinafsi na unafiki hamtajali matakwa wala vilio vya kizazi cha sasa!

Bila shaka na ninyi mnafaidika na mgawo wa keki ya Taifa mkiwa huko US kama wale wanaogombania USD 250,000 za kuimarisha CCM UK?

Haishangazi kuwa kuna wauaji wa halaiki kama ninyi hata kama hamjawahi kushika mtutu wa bunduki, mngeshuhudia akina mama wajawazito, watoto wanaokufa kwa kukosa huduma za afya, matatizo lukuki yanayoikabili jamaa ya kitanzania, bila kujua suluhisho la haya litapatikana lini, msingeshadadia kupongeza watu wanaotumia kodi zetu kutafuta ufahari.
Mnampongeza kwa kushindwa kuwajibika?

Hata kuwa US hakujawasaidia kuelimika, sijui kama hii ni laana au ni nini?

So there'd be 2 rallies!! Or demonstrations rather ?

Anyways we shall have our eyes wide open to see this interesting unfolding of diaspora's expression of their thoughts through support of their causes,

I for one will sign the anti ****** campaign lolest!

Actually wouldn't mind international rallies popote anapotia mguu na watu na mabango haooo!!! Itamfanya akae kitako TZ atatue matatizo kama mkuu wa nchi na sio kutatua kifamilia

Hapa hakuna cha "taarifa za kiintelijensia" wala mabomu au maji ya kuwasha! JK, this time unalo, dunia nzima itatambua "who you real are!"

Tehe tehe tehe umenikuna sana mkuu,labda atakuja nao sungu sungu wa mwema.

Mi nashangaa na nakereka kweli! Mtanzania kabisa anaongea upuuzi kama huu, wamsapoti JK kwa lipi sasa. Hata kama umewasilisha mawazo yako hebu iangalie Tanzania kiujumla ndo uropoke

unasema wanasaliti utamaduni, mila na desturi za taifa? utamaduni upi wanaousaliti? utamaduni wa kukaa kimya na kuwaacha wachache waenjoy hii nchi wakati Watanzania wanaumia na maisha magumu?

Yaani mnaficha maovu yake? Kumpongeza kwa lipi? Labda kwa kuwa mtanzania anayesafiri kuliko wote!

Miafrika band ndivyo ilivyo.
Yaani wanaandamana kwa kumpongeza kwa kuyafanya maisha ya wadanganyika kuwa magumu lol
Mnaishi na weupe huko huko mnashindwa hata kujifunza wenzenu wanaishije? Kiongozi mbovu wanamfanyaje!

muanzisha mada labda akachukue shangazi zake, wajomba ndio waende kuandamana, huju jamaa ni mikosi nini, ungekuwa dar tayari tungekupa chepe

tupo pamoja mzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Achana na siasa fanya kitu kingine maana huna hoja. CDM ndo chama kinachowatetea walalahoi na kuchukiwa na mafisadi na wote wasio wapenda haki. Inawezekana ww c Mtanzania ndo maana haupingi hoja bali CHADEMA mara CCM pemba.

Tafadhali usijihusishe na siasa HUJUI.

Nadhani wewe una matatizo makubwa zaidi

Unaoneja uki saidia ku-organise maandamano NY badala ya DC, nimeielewa hoja yako ingawa pia ni vizuri DC hili hao Jamaa wajue kuwa fedha zao wanazotowa nyingi zina liwa kwa Ufisadi ambao serikali haina dhamira ya dhati kupambana nao!

Nadhani ufanye maongezi na waandaji wa maandamano kuangalia uwezekano wa ku-handle hilo swala maana wewe hoja yako ipo kwenye kubadili eneo siyo kutishia waandamanaji na ku-discourage maandamano kitu ambacho kinajadilika.

unasema wanasaliti utamaduni, mila na desturi za taifa? utamaduni upi wanaousaliti? utamaduni wa kukaa kimya na kuwaacha wachache waenjoy hii nchi wakati Watanzania wanaumia na maisha magumu?

Utamaduni wa Wizi, Rushwa na Ufisadi na mila yetu ya Uongo na uoga! Ndio inayo salitiwa

Hivi unafahamu unachokiandika?? Au umeota ndoto halafu ukakurupuka usiku huo kuandika humu kwenye Jukwaa hili? Nakusihi u-withdraw hii post. It is irrelevant.

Miafrika band ndivyo ilivyo.

Yaani wanaandamana kwa kumpongeza kwa kuyafanya maisha ya wadanganyika kuwa magumu lol

Mnaishi na weupe huko huko mnashindwa hata kujifunza wenzenu wanaishije? Kiongozi mbovu wanamfanyaje!

sure mkuu, mimi inanishangaza sana, hawapati ujuzi kazi kusapoti wasiyoyajua. Duh! Hawaelimiki tu.

Samahanini naomba kuuliza swali ndugu zanguni.. CDM ndio nn? Ni kifupi cha chadema or ccm + chadema! Ninaona post zake tu but sijazielewa! Asanteni.

Nimeona heshima kubwa ambayo JK katoa kwa kuitangaza TZ ktk USA. Ametoa tangazo kubwa ktk uwanja wa Seattle Sounders just kuitangaza TZ!! Akiwa kama Rais, naona kafanya jambo la maana sana kutafuta investors ktk kila kona.

Juzi nilikutana na Wazungu, na Waafrika kutoka Afrika, na nilishangaa sana waliponiambia wanampango wa kwenda TZ kuinvest. Haya ni matunda ambayo tunaanza kuyaona.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…