Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.

Mitandio si Hijab.....serikalini mavazi ya kidini hayana nafasi. These allegations to CDM are Null and Void
 
Mkuu Kishogo heshima.

Naomba kujuzwa jambo moja muhimu sana.Hivi kuna kikao chochote cha CDM kilichokaa na kuazimia kumvua mkuu wa wilaya Hijjab/Ushungi ?.Kama jibu ni hapana CDM wanahusika vipi na hili sakata mbona mnapenda kutumiwa kijinga.

WaIslamu walidanganywa na CCM wataanzishiwa mahakama ya kadhi sijasikia viongozi wa kiIslam wakitoa shutuma dhidi ya serekali / CCM au kulaani kitendo cha kudanganywa kwa zaidi ya miaka kumi ?.

Wahusika wa sakata hili wameshafikishwa mahakamani kwanini hatuna subira ya maamuzi ya mahakama ?.Nijuavyo CDM haijashitakiwa wala hawana kesi ya kujibu walioshitakiwa wanajulikana vipi leo tunapindisha mambo ?.


 
Saffiiiii sana wadau Watanzania muishio marekani. Na mtindo huu uendelee mpaka akose kwa kukimbilia. Huyu Vasco Dagama hasikii, haambiwi ametumia zaidi ya mwaka mmoja(Siku 366) akiwa nje ya nchi ndani ya miaka 5 ya kwanza ya urais wake. Rais brazameni sisi anatusaidia nini?
Rais Sharobaroh sisi anatusaidia nini?
 
wewe si tunakujua ni mkimbizi, acha watanzia wenye uchungu wamuaibishe huyo kilaza wako.

Huyu kilaza mkuu kazidi wacha aende akumbane na joto ya jiwe. Hii misafari yake ya mara kwa mara ambayo haina tija hata kidogo kwa nchi yetu, yeye anaona poa tu. Watanzania tuzinduke wakati ndo huu.
 
Bora kuwa na akili za Abunuasi kuliko kuwa Abunuasi mwenyewe, eti unasema Was. DC ni polini hakuna vyombo vya habari zinakutosha kweli? watu wanapata habari za Igunga sembuse za Wash. DC.
 
Wakuu songeni mbele msiwasikilize wanaowakatisha tamaa wakati wa kutaka mabadiliko. Mbona kule ufaransa waliandamana wakati kagame ali visit nchi hiyo last week sisi waTZ tuogope nini wakati issue zetu ni za msingi?
 

Yaani mchawi aliyeiroga Tanzania ndiyo huyohuyo aliyeturoga waislamu kama habari hii ni kweli. Ivi kweli yupo muislamu asiyejua ukada na uovu unaofanywa na wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa wananchi hata wamtetee, mbona hawakumvua yoyote aliye magomeni, Ilala, nk anayehudhuria madrasa zake. By the way ni kweli lakini hiyo nchi ina mkuu wa wilaya au mkoa anayevaa hijab iliyotajwa katika hiyo aya ya surat Al Ahzab? Kweli Sheikh Ponda nawe unaingia mtego huu?
 
vipi maandalizi ya buffet ya DICOTA yamefikia wapi?
 
Hiyo safi sana. Na Babu yake Ambaye wanakula pamoja Bilali anaenda Sweden, ni vizuri nao wakajipanga kuandamana Huyo ataponda pesa ya nchi wiki nzima.
 
Waandaaji mbona mko kimya? Hii kitu bado ipo kweli? Au mmeshadhibitiwa?
 
wakuu maandamano yenu yameishia wapi.. hehe.. nilipata habari kutoka WANABIDII ... Mh shimiwa raisi wetu Dr. JK... alikwenda na akapewa tuzo za heshima kabisa.. poleni....
 
o Tanzanians are tired oftheir president. A retarded womanizer, brain dead idiotconstantly trotting the world leaving his country in the darkness. His peoplepray for an African version of Arab spring to topple jokers like him, Museveniand Mugabe. They are disgrace to their countries. Wikileaks revealed how cheapKikwete is; a whole head of state being bribed 5 suits and $1million. How low?He is accused of being the master of all corruption. Never home attending eventhe most mediocre meetings his assistants could attend. They have even namedhim after the explorer "Vasco Dagama". Africans will never progressas long as the likes of Kikwete keep on leading Africa. There is an undergroundprotests being planned against him during his visit to the US in the nextcouple of days
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…