Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Tusaidieni jamani, sisi inaonekana tumefyata mikia huku bongo, kazi kulalamika tu... ila hilo la barua kwa kuwa hakuwa mabomu ya machozi tutaandika huko fesibuku
 
Kwanza JK safari yake ya kwenda ughaibuni ipo au ameogopa moshi wa moto utakaowashwa?
 
umoja ni kitu muhimu sana katika kuleta mabadiliko...umoja ndio uliotufanya Tz tukapata uhuru..umoja ndio ulitufanya kumweka madarakani Baba Riz kwa mwaka 2005 na umoja huo huo ndio utakaotufanya Baba Riz aondoke madarakani. Watanzania kwa pamoja tuamke kuipigania nchi yetu ya tanzania...naunga mkono hoja..."no retreat no surrender".
 
Jipangeni. Tunamsubiri JK. Ratiba ya maandamano inatolewa Keshokutwa.....Tulifanya makusudi kuificha kuakwepa mafisadi waliokuwa wanajaribu kutuvuruga
 
Jipangeni. Tunamsubiri JK. Ratiba ya maandamano inatolewa Keshokutwa.....Tulifanya makusudi kuificha kuakwepa mafisadi waliokuwa wanajaribu kutuvuruga

Mmeshapata uhakika kuwa atakuja?
 
Jipangeni. Tunamsubiri JK. Ratiba ya maandamano inatolewa Keshokutwa.....Tulifanya makusudi kuificha kuakwepa mafisadi waliokuwa wanajaribu kutuvuruga
Tunawatakia maandamano mema na sisi huku nyumbani tunaendelea kupambana na mkoloni mweusi CCM na vibaraka wao ambao ni wabaya kuliko wale wa wakoloni.
 
Jopo lake kubwa la watu zaidi ya 60 hivi walitangulia kwenda Marekani tangu siku ya Jumanne wiki hii. Na mpaka hivi sasa wamepangiwa kwenye hoteli XYZ na ... kule ......

Mikutano hiyo haijulikani kuwa na tija gani kwa taifa kisi cha kutufanya tuwakilishwe na jopo kubwa kiasi hicho.

Mmeshapata uhakika kuwa atakuja?
 
Kila la kheri. Sisi dsm tunaweza tu kulalamika.
 
Jipangeni. Tunamsubiri JK. Ratiba ya maandamano inatolewa Keshokutwa.....Tulifanya makusudi kuificha kuakwepa mafisadi waliokuwa wanajaribu kutuvuruga
keshokutwa mtakua mumechelewa.kesho anazindua UNGA,keshokutwa anaonana na bank moon.tarehe 22 anarudi bongo.inaonekana mumepotoshwa.mia
 
Namna hiyo!! True democracy ipo huko, msisahau mabango.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…