Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,949

Tatizo la ndugu zetu waislamu siku zote ni kuua, na kulalamikia kila kitu kuhusiana na uislamu. Fairfox. Ingawa wewe ni msaidizi wa Salva, naona PR inakushinda kidogo. Tunayozungumzia siyo udini. tunazungumzia hali ngumu ya maisha Tanzania. Tunazungumzia, sukari kilo moja sh.2000. tunazungumzia mafuta ya petroli kupanda kuliko kawaida, tunazungumzia ugumu wa maisha, ambayo yote haijui udini. Wewe ndo unajua udini kwa maana mzee wa Symbion ameshakukatia hela. Kumbuka watanzania wangapi wanalala njaa, waislamu na wakristo. Wewe kila uchao naandamana na JK na marupurupu unayoyapata hujui nini kinaendelea mitaani. Naomba utafakari sana kabla haujaleta udini kwa maana tatafika mbali na wewe. Tunachotaka sisi ni maandamano hili huyu fidhuli Kikwete aondoke madarakani tumechoshwa naye. akili butu

Nendeni tu mtakaangiwa kuku na bia za bure, mimi nilijua wapuuzi tunao hapa bongo tu kumbe na huko wako. Kigoma kuwa Dubai halafu iweje? kwanza wanakigoma waache kukaa kweye vijiwe vya kahawa na waanze kujishughulisha kama mikoa mingine. Wanataka flyover wakati hata gari ni za tabu.
Unanshangaza sana, ni nani aliyeshindwa kununua hiyo sukari ya 2,000? wewe kama unawajali sana Watanzania si ungeleta sukari uiuze rahisi, ni nai aliyekukataza na Tanzania ni soko huria?
Kikwete madarakani haondoki, tulimchaguwa kwa kura nyingi sana na amefanya ,azuri mengi sana kwa Tanzania kiasi ambacho kila anachokifanya ukijumlisha ya marais wote waliopita hakuna anaemfikia. Tuongeeni ukweli, hakuna zaidi ya dini yake inamfanya ashambuliwe na wakristo. Sioni sababu nyingine yoyote, mimi naku challenge tuanze kuchambuwa kitu kimoja kimoja tuone ni Rais yupi aliyefamya mema zaidi yake. Msitake kuudanganya umma, zote ni chuki za kidini na hususan linapokuja suala la elimu ndio inawauma sana , kwani mnajuwa kuwa sasa utawala unawaponyoka.
Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa
And that's the most important thing since slice bread, huh!It seems you are to pron to forgetting, you have just forgotten that Kikwete was the first President of Africa to be invited by Obama and you have also forgotten that before saying goodbye to the Americans, George Bush spent 4 good days in Tanzania, records for Kikwete in both cases. Ask yourself WHY?

Hiyo mitusi iishie humuhumu, msije mkaiandika kwenye mabango tu kama mtapata hiyo nafasi...
Rudi kwenye hoja maisha ya watu yanakuhusu nini...? Tumia ile ID yenye jina lako basi mbona unajificha kwenye hii..!?Kwa tuliwahi kukaa pale na mpaka leo kuna familia yangu baadhi wanakaa pale huwezi kubisha. naweza kukutajia hata kwa majina nani amekana na nani raia mpaka leo.
lakini wa tanzania wote pale wana nia ya kupata uraia wa marekani ila vigezo na taratibu ndio vinasumbua.
It's not what the UN says but how the real wananchi feel the pinch, when you don't have power or gas (petrol), that's some real shit.Duhh kumbe na wewe uko nje ya Tanzania halafu unadanganywa hakuna maendeleo unakubali? si ungetazama statistic za UN na mashirika mengine ya Kimataifa kuujuwa ukweli.
kwa kosa lipi?

Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa