Tumeshamsaidia, naamini zinaonekana sasaNothing is displayed
mbona watu wa kawaida?
mbona watu wa kawaida?
Ingekuwa wewe ni J-K wa Magogoni Dar es Salaam ungefanyaje?
kwani hao watu ni wengi? mbona wamepiga upande mmoja?:A S 112:
We unavyofikiri huyo JK wako akienda Karagwe anaweza akapata idadi hiyo?Awamu iliyopita alipigwa mawe kule Mbeya safari hii watamrushia mavi.Rais gani hapendwi na wananchi?
unataka kufananisha na wapi? dar, Mwanza, Arusha, Mbeya....? sehemu kama hizo kuwapata hata watu 3000 siyo mchezo ndiyo maana CCM hupeleka wasanii wa ze comedi, bongo fleva, kuwabeba kutoka vijiji tofauti tofautikwani hao watu ni wengi? mbona wamepiga upande mmoja?:A S 112:
Pinda mbona kafunika kagera?