Maandamano ya CHADEMA kesho vipi?

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Viongozi wa Chadema mlioko humu tafadhali tujuzeni kuhusu maandamano ya nyanda za juu kusini yanayoanza tarehe 4,Mei.Tunaomba kujua hayo kwani kuna watu wengi wanataka kutoka wilayani kwenda kwenye centre za maandamano.
Kitengo cha habari cha Chadema chini ya Erasto Tumbo mpo wapi??
 
Uhalisia ni kuwa CDM wamekosa cha kupigia debe mara baada ya serikali kuutoa Msuada wa Kuunda Tume ya Marekebisho ya Katiba bungeni. CDM wamepigwa bao peupe
 
Kama Lema atashiriki hayo maandamano Zitto hatohudhuria.

Hii aihitaji logic ni uhalisia tu kwani tofauti ya Zitto na Lema ni hii.

Zitto-Ana kinyongo,na pia ni 20% follower (yanini malumbano,bora nitulie,nijiweke pembeni..............nendaaaaah).

Lema-hajali lolote ni Mr. sugu follower (kwani wananijua Sugu ni mtu wa mavurugu.......linga baby kama unavyolingaga....... lingaaaa).
 
Mh hayo uliyaandika huitaji hata elimu ya darasa la saba kata kujua elimu yako hebu rudi shule ujifunze kuandika.
 
Maandamano kila mwezi yanachosha Chadema wamesababisha mpaka maandamano yamekuwa hayana maana tena, ukizingatia na pesa zenyewe wamepeleka kununua magari ya mitumba ya india, ebu jiulize india toka lini kuna mitumba
 
Taarifa za kiintelijensia zinaonyesha kwamba maandamano yaliyopangwa kufanyika Nyanda za Juu kusini na Chadema yatazuiliwa na jeshi la polisi.

Taarifa zinaonyesha kuwa japokuwa Chadema mkoa wa Mbeya wamefuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kuandika barua ya kutoa taarifa kabla ya saa 48 (wamepeleka leo kwa RPC ikiwa ni saa zaidi ya 60 kabla ya tarehe 6 ya maandamano) Polisi Mkoa wamejiandaa kuzuia na kuwapiga mabomu viongozi wakuu wa chadema na wananchi wa mkoa wa Mbeya watakaojitokeza siku hiyo ya Ijumaa.

Note:

Taarifa hizi nimezinasa kwenye vyanzo vyangu huru, si lazima ziwe na uhusiano na kiongozi yeyote wa Chadema Mkoa wa Mbeya.

Ni kweli kiasi gani, tutapata upepo ndani ya siku hizi mbili na nitaendelea kuwajuza kinachoendelea kwa kadri taarifa zitakavyonifikia.

Toka kwa Mwananchi anayeipenda nchi yake
 
kwanza maandamano bila mabomu ni sawa na mboga kukosa chumvi!nashauri chadema wasonge mbele kwa sababu hata mabomu,vifaru vya misiri vilishindwa na polisi wa ccm hawaja pata somo na wananchi watoe ushrikiano kwa chadema wakiwemo wataalam wa kujivua gamba.
 
Maandamano kila mwezi yanachosha Chadema wamesababisha mpaka maandamano yamekuwa hayana maana tena, ukizingatia na pesa zenyewe wamepeleka kununua magari ya mitumba ya india, ebu jiulize india toka lini kuna mitumba

Yangakuwa yanachosha yasingepata watu. Sidhani kama wanahitaji support yako
 
Hata sisi wakristu tunaamini bila ya YESU kufa Msalabani tusingepata ukombozi. Na YESU alisema " When you sow a seed it will never germinate unless it dies" Ukombozi wa kweli na demokrasia pamoja na Haki na usawa havitakuja bila damu ya kumwgika. Imeanzia TUNISIA, EGYPT now Libya and Syria kwanini sisi tuwaogope hao polisi wenye njaa wanaokaa kwenye vijumba ambavyo hastahili binadamu kuishi. People's pooooooooooooooooooooower :israel:
 
Viongozi wa Chadema mlioko humu tafadhali tujuzeni kuhusu maandamano ya nyanda za juu kusini yanayoanza tarehe 4,Mei.Tunaomba kujua hayo kwani kuna watu wengi wanataka kutoka wilayani kwenda kwenye centre za maandamano.
Kitengo cha habari cha Chadema chini ya Erasto Tumbo mpo wapi??
faida ya haya maandamano ni yapi nyie wana cdm
 
CCM wanaposikia CHADEMA wanaandamana,huwa hawatulii.Pamoja na hizo habari za kintelijensia,maandamano yako palepale na mimi nikiwa mstari wa mbele.Dawa ya mabomu ya machozi ni maji.Hakuna jipya na mabomu ya machozi,tumeyazoea
 
Back
Top Bottom