Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 871
Ahsante mkuu, Je hakuna dhoruba kali toka kwa watawala juu ya maandamano hayo?
Endelea kutujuza tafadhali...Wakuu yale maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa ndio yameshaanza.Maandamano yameanzia Buzuruga kuelekea uwanja wa Furahisha.Watu ni wammejitokeza kwa wingi wa jinsia na rika zote.Kwabahati mbaya sijakaa kwenye position nzuri ya kurusha picha lakini nikipata fursa nzuri nitazirusha.
Aluta Continua.
From kwenye Maandamano Mwanza
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

Mkuu,
Jambo muhimu kabla ya ku-criticise ni kujiuliza...ni nini kiini/theme ya maandamano ya mwanza? What are they demanding for?
Baada ya majibu...hapo tunaweza ku-conclude aidha negatively au positively.
nn-nyooo !Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
Ni wewe tu ndiyo unaogopa nguvu ya umma (maandamano). Unafaidika na uozo uliopo nn?
Maandamano yanadai matumizi makini zaidi ya raslimali za nchi yetu, ili kiasi kinachookolewa kikajenge hizi barabara, hospitali, shule unazozisema.
Hongera Mwanza. Huu uwe ni mwanzo tu. Inahitajika sustained pressure kuwasambaratisha hawa mafisadi.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Kama wanaotakiwa walete hizo hospitali, barabara, nk wako kimya uendelee kusubiri hadi lini???