Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

Kwa ninavyoilewa Mby inawezekana maandamano yalipoanzia hadi kuishia lazima yalipita kwenye makanisa (dhehebu) zaidi ya kumi je! kama wakristu walikuwa wanasali nao hawakusumbuliwa? au tumekariri kusali ni jumapili tu.

Nimeipenda hii!!
 
Hii picha naingalia toka mkutano wa Mbeya ufanyike,inanigusa sana moyoni kwa kweli wananchi sasa hawataki ujinga pamoja na vipeperushi vya kuwazuia waliwajiba kikwelikweli Heko Mbeya
nyomi.jpg
 
Kwa ninavyoilewa Mby inawezekana maandamano yalipoanzia hadi kuishia lazima yalipita kwenye makanisa (dhehebu) zaidi ya kumi je! kama wakristu walikuwa wanasali nao hawakusumbuliwa? au tumekariri kusali ni jumapili tu.

Nimeipenda hii!!
 
Kuna watu wapuuzi kweli kweli.
Hii thread ni crap! Total crap na vibaraka wote wanaochangia hapa ni crap.
Utawaona tu watanijibu sasa hivi! VIBARAKA.
 
Siku ya Ijumaa tarehe 06/05/2011 , chadema walifanya maandamano yao mjini Mbeya . Kwa mujibu wa ratiba maandamano hayo yalianza saa 6 mchana kama yalivyopangwa. Katika sehemu ambazo maandamano hayo yalipita kulikuwa na misikiti , ambapo waislamu kwa mujibu wa taratibu za dini yao , ni siku yao yakusali. Maandamano hayo, yalipita kwa makelele ambapo yaliharibu, taratibu za ibada za siku hiyo kwani imamu hotuba yake ilikuwa haisikiki tena kwa makelele hayo. Ni ushauri wangu tu kwa cdm kuwa ni vizuri siku nyingine maandamano hayo yaanze saa 8 mchana kama ni siku ya ijumaa ili kuepusha bughudha kwa ibada na vile vile kuwapa fursa waumini wengine ambao ni wanachama wenu washiriki maandamano yenu. Niwajuavyo waislamu kitendo mlicho kifanya wanaweza kuwachukia na kuendelea kuamini kuwa udini ndio ulio wapelekea nyie kuharibu ibada yao. Heshimuni uhuru wa kuabudu wa kila mtu !

Mtu anaweza kuandaa jambo la kijinga akawa anajua ni la kijinga akakuletea ukilikubali bila shaka atakuona zuzu,sasa huyu mtu sijui anajua au ni bahati mbaya ameleta ujinga humu bila kujua!!
 
Jamaa kwa kupenda visababu vya kuzua zogo hawa! siwawezi!
Kiboko yenu mmarekani tu.....alie muua shujaa....w.e.n.u.
 
Kuna watu wapuuzi kweli kweli.
Hii thread ni crap! Total crap na vibaraka wote wanaochangia hapa ni crap.
Utawaona tu watanijibu sasa hivi! VIBARAKA.

Sadly that includes you maana na wewe ni mchangiaji.....huwezi kusema watu wote ni crap....ina maana wewe tu ndiye mwenye point na point ni kuwaita watu crap bila kuainisha why the threat na watoa hoja wote ni crap....I feel sorry for you indeed
 
Jamani udini udini udini unatumumunya. Kila wafanyacho CDM lazima tu watu wataunganisha dots hadi watokee kwenye udini. Dhambi mbaya sana.
 
Kama shughuli za chama zitafanywa kuangalia imani basi hakuna kitu kitafanyika,serikali au chama cha siasa hakifanyi jambo kuangalia imani kwani ni kazi sana kuwaridhisha waumini wote,najua uchaguzi ungefanyika ijumaa wangeita mfuo kristo,hii dhana chafu ya udini imewekwa vichwani mwetu na inaanza kutuathiri vibaya,watanzania sio wakristo na waislam tu kuna dini zaidi ya hizo na zote zina muda na siku na maeneo tofauti ya kuabudia tukizingatia hayo tutajikuta hatuna siku ya kufanya shughuli ya kiserikali au ya kisiasa kwani kuna uwezekano kila siku ikawa kuna watu wanaabudu,tuache mawazo ya kupandikizwa na kuwaza mema

Hongera mkuu umeongea pointi safi sana. Hizi hoja za udini zinazo pandikizwa mioyoni mwetu hazifai. CCM ndiyo wachonganishi na wachochezi wakubwa. Tena wao hugusa kwenye uislamu na Chadema. Hapo wakiamini Waislam watakuja juu dhidi ya Chadema. Huu ni upuuzi mkubwa!
 
Kuna watu wapuuzi kweli kweli.
Hii thread ni crap! Total crap na vibaraka wote wanaochangia hapa ni crap.
Utawaona tu watanijibu sasa hivi! VIBARAKA.

Kweli Mkuu hii maada ni ya kichochezi tuipuuze na tuwapuuze wote wanaoleta maada za udini.
 
Kwa hiyo unadhani kumwaga matusi ndiyo kutengeneza hoja? Unataka tuamini kwamba hivyo ndivyo wanachama wa CDM walivyo? Sitaki kuamini hivyo kwa sababu nina hakika ufedhuli wako ni kutokana na kukosa elimu ya kutosha na pengine malezi yanayojua maadili, heshima kwa watu wenye imani na mtazamo tofauti na kikubwa, kujua na kukubali kutofautiana. Wewe unayesema Mbeya hakuna waislamu unaonyesha ambavyo unatembea na upumbavu wako kwenye mfuko wa rambo na kila mtu anaouona. Dini hizi ziko kila mahali na ndiyo maana hata huko Middle east dini hizi zipo kila mahali.

Kwa vile umezaliwa juzi, unashindwa kuelewa kwamba uchaguzi kufanyika jumapili umekuwa ni utamaduni wa muda mrefu katika nchi hii, toka hata wakati wa Mwalimu Nyerere (ambaye ni muumini wa kweli wa kikristo kuliko wewe) na hakujawahi kutokea matatizo. Kama unadhani utamaduni huu ulikuja na Kikwete (kwa jinsi unavyochukia imani yake) basi ujue umeonyesha uchanga na umbumbumbu wako. Hata nchi kama Kenya au Uganda na nchi za ulaya ambako aslimia zaidi ya 90 ya wananchi wake ni wakristo, chaguzi zao zinafanyika jumapili, na sababu ni kwamba siku hiyo ndiyo inayofahamika kwamba ni siku ya mapumziko na ilifanywa hivyo ili kutoa nafasi kwa wananchi wengi kushiriki katika upigaji kura. Kama wewe huendi kusali siku hiyo kwa kisingizio cha uchaguiz basi nina mashaka na uthabiti wa imani yako, zaidi ya kuwa na UUMINI MKUBWA WA KUCHUKIA IMANI ZA WENZIO!

Kaka nimekukubali kwa jinsi ulivyo mwelewesha huyu mtu ! na asipo elewa na hii basi ana mtindio wa ubongo usio pona maisha
 
Kweli Mkuu hii maada ni ya kichochezi tuipuuze na tuwapuuze wote wanaoleta maada za udini.

Wewe ndio na wengi wenu hamkumwelewa mtoa mada. Mtoa mada hajaleta udini, alichoelezea ni hali ilivyo tokea na ushauri wake. Sasa ni kwa cdm kwa vile viongozi wengine wamo humu wauchukue na waufanyie kazi kwani haileti taswira nzuri mbele ya waathirika. Soma vizuri mada na pambanua sio kubwabwaja bwabwaja tu hapa mkuu
 
Hongera mkuu umeongea pointi safi sana. Hizi hoja za udini zinazo pandikizwa mioyoni mwetu hazifai. CCM ndiyo wachonganishi na wachochezi wakubwa. Tena wao hugusa kwenye uislamu na Chadema. Hapo wakiamini Waislam watakuja juu dhidi ya Chadema. Huu ni upuuzi mkubwa!

Mnapo shauriwa kubalini wakati mwingine, km cdm watu wenyewe ni vichwa ngumu kiasi hiki basi saa ya ukombozi bado sana. Cdm bado chama kichanga , sasa watu wanapowapa mawazo ya kujenga msiyakatae
 
Kweli kuna ujinga mwingi sana katika mjadala huu! Aliyeanzisha thread hii alitoa a very useful angalizo kwa matumizi ya baadae lakini religious chauvinists an wale wanaodhani kuwa CDM damu ni kuacha kuwa rational wameigeuza kuwa ya kidini na kashfa kwa imani tofauti. Huyu alichosema ni kwamba as a result of the demonstrations na shouting ya shamra shamra za maandamano hayo, kulikuwa na disruption katika uendeshaji wa sala hiyo ya ijumaa na akapendekeza kwamba katika kuheshimu uhuru wa kuabudu, na ili hii stigma wanayotembea nayo CDM, ya kuonekana ni chama cha kidini (sina hakika kama ni kweli) iondoke. Majibu ya kifedhuli kama hayo hapo juu hayasaidii chama na kinyume chake inaonyesha kwamba kumbe madai hayo sasa yana chembe ya ukweli. Umezungumzia uchaguzi kufanyika jumapili, so what? Jumapili imekuwa designated hapa kwetu kama siku ya mapumziko na hata siku moja uchaguzi haujawahi kuvuruga uhuru wa kuabudu na hakujawahi kutokea malalamiko ya kuvurugwa kwa ibada.

Kuhusu adhana za alfajiri kusumbua usingizi, this is far fetched na ni ajabu inaingizwa hapa wakati huu baada ya karne nyingi za utamaduni huu. Ndiyo maana hata siku moja kengele za makanisani hazijawahi kuwa kero wala msingi wa malalamiko kwa watu ambao si wa dini hiyo. Hapa kilicho wazi ni kushindwa kuelewa mada na kukosa uvumilivu wa kiimani na hili limefanya mijadala mingi humu kuchukua a very nasty and ugly turn. Tujirekebishe ili tuendane na imani na jina la hii forum Home to Great Thinkers!

All in all, na as a matter of fact ni kwamba hiyo njia maandamano yalipopita hakuna msikiti hata mmoja kulia wala kushoto, at least I dare to say so! Mtatoana macho bure na hadithi za kufikirika
 
Wewe ndio na wengi wenu hamkumwelewa mtoa mada. Mtoa mada hajaleta udini, alichoelezea ni hali ilivyo tokea na ushauri wake. Sasa ni kwa cdm kwa vile viongozi wengine wamo humu wauchukue na waufanyie kazi kwani haileti taswira nzuri mbele ya waathirika. Soma vizuri mada na pambanua sio kubwabwaja bwabwaja tu hapa mkuu

Jibu hoja kwa nini misikiti tu ndio iwe na haki ya kusumbuwa wengine wakati tumelala? na ni kwanini wkati wa ibada hazitumiki spika za ndani kama yanavyofanya makanisa?
 
Jibu hoja kwa nini misikiti tu ndio iwe na haki ya kusumbuwa wengine wakati tumelala? na ni kwanini wkati wa ibada hazitumiki spika za ndani kama yanavyofanya makanisa?

Ww ndio hujaelewa hoja na kuipambanua. Kelele za maandamano ya cdm sio ibada, ila kwa waislamu kutoa adhana na kuwaita watu waje kuswali hiyo ni ibada na sio kelele. Usichanganye mambo mawili hayo ni tofauti.
 
mpaka mapovu yanakutoka ... ..... kisa pilau na kupanda mafuso.......teeh teeh teeh
 
mkuu najua wewe ni mbishi lakini hiyo la mfumko wa bei ni kitu cha nchi moja moja, kila nchi ina inflationa rate yake kwa sababu tofauti kwa TANZANIA ni wazi kabisa sababu ni
na copy kutoka Webster's New World Dictionary (1957) defines inflation as follows:
2. an increase in the amount of currency in circulation, resulting in a relatively sharp and sudden fall in it's value and a rise in prices: it may be caused by an increase in the volume of paper money issued or of gold mined.

hii inatoka na ukweli kwamba serikali ya ccm sio makini, wananunua kila kitu kutoka nchi hasa nchi za ulaya kama uingereza na hakuna ubora wote wote unaozidi vitu vya nyumbani serikali hiyo unayoitetea waulize MFUTA kwa magari ya viongozi wanatumia lita ngapi kwa mwezi, posho na matumizi mengeni kama semina na vikao tunaliwa kiasi gani?
na haya yanasababisha pesa yetu kutumika ovyo kwenye shughuli zisizo za uzalishaji, mbaya ya yote ni hao watu kutuficha hiyo hela nje ya nchi
hapo ndipo uchumi wetu unapoujumiwa nchi kama UK wana kiwango cha pesa wanachoweza kukuruhusu kubeba kwenye bag na kama ni kikubwa utatakiwa kuthibitisha ulivyoipata hiyo pesa.
na hii inasaidia watu kama hao mafisadi kutochezea hela yetu.
lakini pia nenda kwenye mashirika ya ndege kukata TIKETI kwa nini wanakucharge katika DOLLA.
Mkuu amka wakati ni sasa, hacha usaliti MFUMUKO WA BEI UNAWEZA KUDHIBITIWA kwa kutumia mfumo bora, kwa nchi za ulaya mfumuko wa bei ni moja ya sababu ya serikali nyingi kuangushwa kasome history
Achaga mambo yako nawewe fara,Mtumwa wa Mapapa wewe. Utaishia kwenye giza tororo wewe fara!
 
Back
Top Bottom