Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

Uchaguzi ulifanyika j2 ibada iliheshimiwa hapo??kuna adhana kila siku saa 10alfajiri siwafichi huwa ni usumbufu sababu kama kila imani ingekuwa inafanya maombi alfajiri kwa style ya kipaza sauti "private nuisance"hata jana chadema waliandamana kuna watu wanakwenda fellowship so walisumbua pia?? Waislam nani aliyetuloga mbona mitizamo yetu haiendani na mabadiliko ya karne hii??kama wakristo wangekuwa na roho kama zetu idont knw wat culd happen,itakuwa ngumu kwa dini kuingia kwenye siasa naomba tuache kujidhalilisha .TUMEZIDI KULALAMIKA WENZETU WAO NI WATU WA KUTATUA MATATIZO YAO KWANJIA YOYOTE NA MUNGU WAO ANAWASAIDIA,

nimekugongea thanks,mkuu!!!
 
wanalazimisha watu waupende uislamu. si unasikia huko misri watu wameuwawa kwa sababu kuna mkristo alitaka kubadili dini kuwa muislamu wazee wa kanisa wakapinga, kilichofuata ni vita, kuchoma makanisa na mauwaji.

dini zingine kinyaa kwelikweli![/QUOTE]

Jinyonge sasa , sijui na wewe anza kuchoma misikiti kama umekasirika sana...watu wengine kinyaa kwelikweli..

A testimony of an uncivilized goon. Hakuna kinyaa kama gabbage unayoitoa humu. Kuwa focused na mada iliyotolewa siyo kukurupuka tu kuonyesha upuuzi wako. Wewe ukipewa nafasi basi nchi hii utafyeka wote wasio-share imani na wewe wakati hata huku dini zilikoanzia wenzio wanaishi kwa kuheshimiana. Hao waislam wa Misri wana ujinga sawa na wa kwako!
 
Yaani ni vigumu kuutofautisha u-chadema na u-kristo! Watu humu wanatetea CDM kama wanatetea kanisa! Na pia viongozi wa CDM sidhani kama wanajua kama Tanzania kuna waislamu! Nauliza Prof. Safari alikuwepo mbeya? Hawa kwenye sherehe zao si watakuwa wanatwanga kiti-fire na mbege bila kujali kitu? Wakichukua nchi move ya kwanza ni kumtangaza kitimoto kuwa ni chakula cha taifa!

Ccm mtaacha lini chokocholo za kidini? Kazi yenu ni kutafuta kila mbinu kuichonganisha Chadema na Waislamu kwa hoja zisizo na kichwa wala miguu. Pole ndugu zangu waislamu kama mtafuata chokocho hizi.
 
Mawazo mgando sana, maandamano yasiyo na tija ni upotevu wa fikra na ufujaji wa fedha za wananchi. Hayo maandamano ni mtajii wa watu kujivunia pesa.

Ingekuwa kama yale ya Misri ama Tunisia ama hata siria, kweli ningeshawishika kwa namna fulani kuwa yana tija maana hata kama wengeshindwa kuwaoondoa viongozi lakini baada ya maandamano lazima serikali ingejipanga ama kujirekebisha. Lakini haya ya CHADEMA ni uhuni tu wenye nia ya kurekebisha maesabu ya ruzuku na komba komba nyingine.

Labda unakuw tu mvivu wa ku think, ina maana hujaona results zozote kutokana na shinikizo la opposition, hujasikia watu wametangaza kujivua magamba?
 
Kwahiyo serikali ya Maalim JK (mwislamu tena mdini) ina fanya sawa kuweka uchaguzi J2 au kwa kuwa wanaoathirika ni wakristo...pumbavu wewe tena Mby hakuna hao waislamu kama unavyodhani acha udini wa kijinga.... unaleta propaganda za kitoto sana.......Waambie zimeshindwa watafute nyingine....na bado CDM itaendelea kuwapeleka puta mpaka mjuvue na ngozi sio gamab tuuuu
 
Ha ha ha aaaaa kumbe na wewe mchicha mwiba , njoo tukushughulikie !
 
Kweli kuna ujinga mwingi sana katika mjadala huu! Aliyeanzisha thread hii alitoa a very useful angalizo kwa matumizi ya baadae lakini religious chauvinists an wale wanaodhani kuwa CDM damu ni kuacha kuwa rational wameigeuza kuwa ya kidini na kashfa kwa imani tofauti. Huyu alichosema ni kwamba as a result of the demonstrations na shouting ya shamra shamra za maandamano hayo, kulikuwa na disruption katika uendeshaji wa sala hiyo ya ijumaa na akapendekeza kwamba katika kuheshimu uhuru wa kuabudu, na ili hii stigma wanayotembea nayo CDM, ya kuonekana ni chama cha kidini (sina hakika kama ni kweli) iondoke. Majibu ya kifedhuli kama hayo hapo juu hayasaidii chama na kinyume chake inaonyesha kwamba kumbe madai hayo sasa yana chembe ya ukweli. Umezungumzia uchaguzi kufanyika jumapili, so what? Jumapili imekuwa designated hapa kwetu kama siku ya mapumziko na hata siku moja uchaguzi haujawahi kuvuruga uhuru wa kuabudu na hakujawahi kutokea malalamiko ya kuvurugwa kwa ibada.

Kuhusu adhana za alfajiri kusumbua usingizi, this is far fetched na ni ajabu inaingizwa hapa wakati huu baada ya karne nyingi za utamaduni huu. Ndiyo maana hata siku moja kengele za makanisani hazijawahi kuwa kero wala msingi wa malalamiko kwa watu ambao si wa dini hiyo. Hapa kilicho wazi ni kushindwa kuelewa mada na kukosa uvumilivu wa kiimani na hili limefanya mijadala mingi humu kuchukua a very nasty and ugly turn. Tujirekebishe ili tuendane na imani na jina la hii forum Home to Great Thinkers!

Ahsante sana mkuu kweli we ni Great thinker,watu wanalumbana tu hata hawaeleki,watu wazima hovyo.
 
Zitto Kabwe alikuwepo na alihutubia.
Pole sana mkuu kwa matamanio yako maana hayajawa
 
Kila kitu ni hatua kwa hatua, gari haianzi na gia namba tano bali huanza na neutral then number one na kuendelea, CDM hatuna haraka kwani tunafaham kikwete bado anao muda mrefu kama si mfupi kwake kuharibu, kidogokidogo wananchi wataelewa mbichi na mbivu ni zipi, aitha kwenda ccm ama kwenda na CDM chama makini. nachoomba, naombeni uongozi na journalist wa CDM wajitahidi kuwa wanamtumia JK matukio ya yote yanayotendeka kwa kuongozwa na CDM huenda na yeye akabadili mawazo na kujiunga na CDM, ili kufikia 2014 sehem hizo zinazofikiwa na CDM, ccm isinusishe pua yake mbaya huko wala waspige bajeti ya kufika huko kwani itakuwa ni kupoteza wakati na pesa za umma kwenda kupiga campeni sehem wasiyotambulika! POLE SANA JK kwani nchi si yako tena, lakini nakuomba usije ukaiga tabia ya Barbo ya kutokukbali kushindwa, UTAIBIKA baba! Watuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaz!!!
 
Jamani mbona sisi tunaishi karibu na msikiti kila alfajiri hatulali kwa kupigiwa makelele na hatusemi kitu? CDM wana haki ya kuandamana na ndio maana walipewa ruksa naona wewe ulitaka kuhudhuria maandamano ukakosa tu. Tusianze kuingiza UDINI kwenye siasa jamani.

Mie nadhani hukumuelewa mtoa mada aisee, yeye ametoa ushauri sasa ni jukumu la CDM kuufuata au kuupuuza ! rudia kusoma tena utamuelewa
 
Kama munaweza kuamka alfajiri na kufanya ibada amkeni, hehehe unazani mchezo na usingizi nini
Uchaguzi ulifanyika j2 ibada iliheshimiwa hapo??kuna adhana kila siku saa 10alfajiri siwafichi huwa ni usumbufu sababu kama kila imani ingekuwa inafanya maombi alfajiri kwa style ya kipaza sauti "private nuisance"hata jana chadema waliandamana kuna watu wanakwenda fellowship so walisumbua pia?? Waislam nani aliyetuloga mbona mitizamo yetu haiendani na mabadiliko ya karne hii??kama wakristo wangekuwa na roho kama zetu idont knw wat culd happen,itakuwa ngumu kwa dini kuingia kwenye siasa naomba tuache kujidhalilisha .TUMEZIDI KULALAMIKA WENZETU WAO NI WATU WA KUTATUA MATATIZO YAO KWANJIA YOYOTE NA MUNGU WAO ANAWASAIDIA,
 
Asante Mkuu Pia maada za kichochezi zidi yaCHEDEMA na na dini tukufu ya Kiislam zifutwe na zipuuzwe na tuwakemee woote nanaoanzisha maada za Udini.
 
Naona wachangiaji mnaendekeza utumwa wa udini tu, hakuna mantiki katika hoja.
Ni ukweli ulio wazi kuwa udini hustawi pale penye ujinga na magonjwa, tuambiane ukweli kabla hali haijawa mbaya.
 
Kwa ninavyoilewa Mby inawezekana maandamano yalipoanzia hadi kuishia lazima yalipita kwenye makanisa (dhehebu) zaidi ya kumi je! kama wakristu walikuwa wanasali nao hawakusumbuliwa? au tumekariri kusali ni jumapili tu.
 
Yaani ni vigumu kuutofautisha u-chadema na u-kristo! Watu humu wanatetea CDM kama wanatetea kanisa! Na pia viongozi wa CDM sidhani kama wanajua kama Tanzania kuna waislamu! Nauliza Prof. Safari alikuwepo mbeya? Hawa kwenye sherehe zao si watakuwa wanatwanga kiti-fire na mbege bila kujali kitu? Wakichukua nchi move ya kwanza ni kumtangaza kitimoto kuwa ni chakula cha taifa!

Jinga wewe acha kuhusisha dini na siasa.
 
Kwahiyo serikali ya Maalim JK (mwislamu tena mdini) ina fanya sawa kuweka uchaguzi J2 au kwa kuwa wanaoathirika ni wakristo...pumbavu wewe tena Mby hakuna hao waislamu kama unavyodhani acha udini wa kijinga.... unaleta propaganda za kitoto sana.......Waambie zimeshindwa watafute nyingine....na bado CDM itaendelea kuwapeleka puta mpaka mjuvue na ngozi sio gamab tuuuu

Kwa hiyo unadhani kumwaga matusi ndiyo kutengeneza hoja? Unataka tuamini kwamba hivyo ndivyo wanachama wa CDM walivyo? Sitaki kuamini hivyo kwa sababu nina hakika ufedhuli wako ni kutokana na kukosa elimu ya kutosha na pengine malezi yanayojua maadili, heshima kwa watu wenye imani na mtazamo tofauti na kikubwa, kujua na kukubali kutofautiana. Wewe unayesema Mbeya hakuna waislamu unaonyesha ambavyo unatembea na upumbavu wako kwenye mfuko wa rambo na kila mtu anaouona. Dini hizi ziko kila mahali na ndiyo maana hata huko Middle east dini hizi zipo kila mahali.

Kwa vile umezaliwa juzi, unashindwa kuelewa kwamba uchaguzi kufanyika jumapili umekuwa ni utamaduni wa muda mrefu katika nchi hii, toka hata wakati wa Mwalimu Nyerere (ambaye ni muumini wa kweli wa kikristo kuliko wewe) na hakujawahi kutokea matatizo. Kama unadhani utamaduni huu ulikuja na Kikwete (kwa jinsi unavyochukia imani yake) basi ujue umeonyesha uchanga na umbumbumbu wako. Hata nchi kama Kenya au Uganda na nchi za ulaya ambako aslimia zaidi ya 90 ya wananchi wake ni wakristo, chaguzi zao zinafanyika jumapili, na sababu ni kwamba siku hiyo ndiyo inayofahamika kwamba ni siku ya mapumziko na ilifanywa hivyo ili kutoa nafasi kwa wananchi wengi kushiriki katika upigaji kura. Kama wewe huendi kusali siku hiyo kwa kisingizio cha uchaguiz basi nina mashaka na uthabiti wa imani yako, zaidi ya kuwa na UUMINI MKUBWA WA KUCHUKIA IMANI ZA WENZIO!
 
mkuu mimi naomba nikupe asante kwa maandishi yangu mwenyewe na wala si kubofya kitufe ...... !

The Following User Says Thank You to seniorita For This Useful Post:

LAT (Today)

Mkuu nami nasema asante maana unaheshimu ukweli... Martin Luther once said: There comes a time when one must take a position that is neither safe, nor politic, nor popular, but he must take it because his/her conscience tells him/her it is right...

ukweli ni kwamba CCM is something that is long gone, those who cling to it are clinging to its shadows and it is vanity to cling to a shadow than something that is real....

  • Thanks
Reactions: LAT
Kama shughuli za chama zitafanywa kuangalia imani basi hakuna kitu kitafanyika,serikali au chama cha siasa hakifanyi jambo kuangalia imani kwani ni kazi sana kuwaridhisha waumini wote,najua uchaguzi ungefanyika ijumaa wangeita mfuo kristo,hii dhana chafu ya udini imewekwa vichwani mwetu na inaanza kutuathiri vibaya,watanzania sio wakristo na waislam tu kuna dini zaidi ya hizo na zote zina muda na siku na maeneo tofauti ya kuabudia tukizingatia hayo tutajikuta hatuna siku ya kufanya shughuli ya kiserikali au ya kisiasa kwani kuna uwezekano kila siku ikawa kuna watu wanaabudu,tuache mawazo ya kupandikizwa na kuwaza mema
 
Back
Top Bottom