Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

yani we ni pimbi kweli wewe.Polisi ambao ndyo wahalifu wakuu wamekiri kupiga watu risasi halafu wewe kibushuti unakuja kutuletea upumbavu wako hapa.....
 
Mimi nimekuwa mwana CHADEMA kwa miaka mingi kabla sijawashtukia ikabidi nijiweke pembeni, maana ilionekana kufuata misingi ya kutafta huruma ya wananchi zaid ya kujipambanua kisiasa,
Kuna matukio mengi ambayo wamekuwa waki ya engineer wenyewe ionekane ni serikali makini inayoongozwa na chama cha mapinduzi kwa sasa,

1.Bomu lililorushwa arusha ambalo liliua watu kwenye mkutano wa hadhara miaka ya nyuma kidogo, na lilivorekodiwa ni kama mtu alikuwa anarekodi movie, kamera zote za TBC ,ITV, STAR TV zilishake na wale wenye makamera wakakimbia lakin kamera ya Chadema inayorekodi tukio haikutikisika kwa kuwa walijua kinachoendelea nini, na mbaya zaid logically kamera ilibidi iwe imemulika kwa anaye hutubia lakini kamera ya CHADEMA Ilimulika bomu lilipolipuka kitambo sana pale pale hata kbala halijarushwa pale, za kuambiwa changanya na zako,

2.Mwaka 2010 walipanga mbinu chafu juu ya Zitto kabwe na Dr slaa, lakin mazingira yakashtukiwa kwa kikao cha husiku alafu mwenyekiti akawa anapiga siku kusikilizia kama jamaa wako hai, akashangaa kuona wanapokea simu, Mbunge wa ubungo kipindi hicho unakumbuka sitaingia ndani,

3.Alphonce Mawazo vile vile wamekuwa wakicheza na akili za watanzania , ukichunguza vema utagundua michezo michafu sana

4.Tundu lissu mpaka sasa hivi eti dereva wake anatibiwa tatizo la kisaikolojia, kwa mambo haya lazima ushangae

5. Suala la Kunyongwa kwa kiongozi wa Chama wakati ana watu walio mzunguka bila kuwa na alert yeyote kinondoni

6. Kupotea kwa msaidizi kabisa wa mwenyekiti ambaye wako wote wanajua nini kinafanyika alafu wanajifanya kukaa kimya wanarushia mpira serikali,,

7. Tukio la mwanafunzi kupigwa risasi tujiulize maswali haya,
Tuna uhakika gani kama CHADEMA hawakupanga suala ili kwamba tulete vurugu alafu wakati wa kutulizwa sisi tupige watu risasi?? ili kutafta huruma ya wananchi?
maswali muhimu
a. binti alikuwa wapi kipindi risasi inapigwa
b.alikuwa ameambatana na nani
c. dereva wa dala dala wanayosema alikuwako anaweza ulizwa akaongea neno?
d. hakuna abiria waliokuwa karibu naye?

najua kwa uoga wa ma mods wanaweza ondoa uzi huu lakin hii itabaki vichwani mwa watu makini wanaojua kufikiria hata kama haitakuwa kwnye maandishi, tumechoka sasa , hawa watu washughulikiwe kuanzia mwenyekiti,

Hivi huu upumbavu wa kiwango cha PhD mtauacha lini????

Nani alikuwa anamfahamu huyo binti before??

Huyo binti kabla hajapigwa risasi alionekana kwenye maandamo ya chadema??

Je ni mtu anayejulikan kabla ya kupigwa risasi hadi uandike haya yote?
 
Mimi nimekuwa mwana CHADEMA kwa miaka mingi kabla sijawashtukia ikabidi nijiweke pembeni, maana ilionekana kufuata misingi ya kutafta huruma ya wananchi zaid ya kujipambanua kisiasa,
Kuna matukio mengi ambayo wamekuwa waki ya engineer wenyewe ionekane ni serikali makini inayoongozwa na chama cha mapinduzi kwa sasa,

1.Bomu lililorushwa arusha ambalo liliua watu kwenye mkutano wa hadhara miaka ya nyuma kidogo, na lilivorekodiwa ni kama mtu alikuwa anarekodi movie, kamera zote za TBC ,ITV, STAR TV zilishake na wale wenye makamera wakakimbia lakin kamera ya Chadema inayorekodi tukio haikutikisika kwa kuwa walijua kinachoendelea nini, na mbaya zaid logically kamera ilibidi iwe imemulika kwa anaye hutubia lakini kamera ya CHADEMA Ilimulika bomu lilipolipuka kitambo sana pale pale hata kbala halijarushwa pale, za kuambiwa changanya na zako,

2.Mwaka 2010 walipanga mbinu chafu juu ya Zitto kabwe na Dr slaa, lakin mazingira yakashtukiwa kwa kikao cha husiku alafu mwenyekiti akawa anapiga siku kusikilizia kama jamaa wako hai, akashangaa kuona wanapokea simu, Mbunge wa ubungo kipindi hicho unakumbuka sitaingia ndani,

3.Alphonce Mawazo vile vile wamekuwa wakicheza na akili za watanzania , ukichunguza vema utagundua michezo michafu sana

4.Tundu lissu mpaka sasa hivi eti dereva wake anatibiwa tatizo la kisaikolojia, kwa mambo haya lazima ushangae

5. Suala la Kunyongwa kwa kiongozi wa Chama wakati ana watu walio mzunguka bila kuwa na alert yeyote kinondoni

6. Kupotea kwa msaidizi kabisa wa mwenyekiti ambaye wako wote wanajua nini kinafanyika alafu wanajifanya kukaa kimya wanarushia mpira serikali,,

7. Tukio la mwanafunzi kupigwa risasi tujiulize maswali haya,
Tuna uhakika gani kama CHADEMA hawakupanga suala ili kwamba tulete vurugu alafu wakati wa kutulizwa sisi tupige watu risasi?? ili kutafta huruma ya wananchi?
maswali muhimu
a. binti alikuwa wapi kipindi risasi inapigwa
b.alikuwa ameambatana na nani
c. dereva wa dala dala wanayosema alikuwako anaweza ulizwa akaongea neno?
d. hakuna abiria waliokuwa karibu naye?

najua kwa uoga wa ma mods wanaweza ondoa uzi huu lakin hii itabaki vichwani mwa watu makini wanaojua kufikiria hata kama haitakuwa kwnye maandishi, tumechoka sasa , hawa watu washughulikiwe kuanzia mwenyekiti,
 
Wakati CHADEMA wanaelekea kwenye Ofisi ya Mkurugenzi kudai barua za viapo, polisi walivuruga na kuanza kupiga mabomu zikiambatana na risasi za moto kwa wapenzi na wanachama wa CDM eneo la Mkwajuni.

Kuna polisi alifyatua risasi ambayo ilimlenga mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT, Aqulina Akwilini risasi iliyomlenga kifuani na kupoteza maisha

Pia soma => Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout?. RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!.

======

Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DARUSO) imelaani vikali mauaji ya mwanafunzi huyo ambaye mwanzoni alidhaniwa kuwa wa UDSM lakini ikabainika kuwa ni mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza Chuo cha Usafirishaji cha Taifa(NIT) kozi ya Procurement and Logistics.

TAARIFA KWA UMMA

Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DARUSO) imepokea kwa mshituko taarifa za klfo cha mwanafunzi Aqulina Akwillni Baftaha anayesemekana amepigwa Risasi na Askari wa jeshi la polisi wakiwa wanakablliana na waandamanaji kwa kutumia risasi za moto.

Awali taarifa za Mwanafunzi huyo zilimuhusisha ni Mwanafunzl wa UDSM lakini baada ya uchunguzi wa kina imebainika ni mwanafunzi anayesoma Chuo cha Usafirishajl chaTaifa (NIT) 'course ya procurement and logistics' mwaka wa kwanza.

DARUSO inalaani vikali kitendo kllichotokea na kutumia nafasi hii kulishauri jeshi la polisi kujitafakari kama ni sahihi kupambana na Raia wa Tanzania kwa kutumia Silaha za moto. Ni kitendo cha kinyama na cha kulaaniwa na kukemewa na Kila Mtanzania yeyote bila kujali tofauti zetu kwa sababu hii siyo akisi na misingi ya siasa za nchi yetu.

Pamoja na tofauti zetu nyingi kama vyama dini ukabila na kadhalika, taifa letu limejengwa kwenye misingi ya undugu umoja, mshikamano na sio matumizi ya nguvu kupita kiasi au kukiuka sheria na taratibu za Nchi yetu.

Hivo basi, sisi kama Serikali ya Wanafunzl Chuo kikuu Dar es Salaam (DARUSO) kwa Umoja wetu tunalaani vikali vltendo vya unyanyasaji na ukiukwaji wa Sheria wa aina yeyote ile na tunaomba mamlaka husika ziweze kuwachukulia hatua wahusika na kukemea kwa nguvu zote vitendo vya aina hii.

Mwisho tunatangulita kwa huzuni kubwa salamu zetu za pole kwa Ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huu, Pia Uongozi wa Chuo Klkuu cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

DARUSO-MLIMANI
=====
UPDATE:

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri kuwa Jeshi la Polisi lilimpiga risasi mtu mmoja jana katika harakati za kutawanya wafuasi wa CHADEMA.

Zaidi, soma => Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA
Daaaahh, jamn where does this country goes ????
En Where will it end ????????
 
Kwa hoja yako kuna kila sababu ya kushughulisha vichwa vyetu zaidi tusiishie hapa
 
Mimi nimekuwa mwana CHADEMA kwa miaka mingi kabla sijawashtukia ikabidi nijiweke pembeni, maana ilionekana kufuata misingi ya kutafta huruma ya wananchi zaid ya kujipambanua kisiasa,
Kuna matukio mengi ambayo wamekuwa waki ya engineer wenyewe ionekane ni serikali makini inayoongozwa na chama cha mapinduzi kwa sasa,

1.Bomu lililorushwa arusha ambalo liliua watu kwenye mkutano wa hadhara miaka ya nyuma kidogo, na lilivorekodiwa ni kama mtu alikuwa anarekodi movie, kamera zote za TBC ,ITV, STAR TV zilishake na wale wenye makamera wakakimbia lakin kamera ya Chadema inayorekodi tukio haikutikisika kwa kuwa walijua kinachoendelea nini, na mbaya zaid logically kamera ilibidi iwe imemulika kwa anaye hutubia lakini kamera ya CHADEMA Ilimulika bomu lilipolipuka kitambo sana pale pale hata kbala halijarushwa pale, za kuambiwa changanya na zako,

2.Mwaka 2010 walipanga mbinu chafu juu ya Zitto kabwe na Dr slaa, lakin mazingira yakashtukiwa kwa kikao cha husiku alafu mwenyekiti akawa anapiga siku kusikilizia kama jamaa wako hai, akashangaa kuona wanapokea simu, Mbunge wa ubungo kipindi hicho unakumbuka sitaingia ndani,

3.Alphonce Mawazo vile vile wamekuwa wakicheza na akili za watanzania , ukichunguza vema utagundua michezo michafu sana

4.Tundu lissu mpaka sasa hivi eti dereva wake anatibiwa tatizo la kisaikolojia, kwa mambo haya lazima ushangae

5. Suala la Kunyongwa kwa kiongozi wa Chama wakati ana watu walio mzunguka bila kuwa na alert yeyote kinondoni

6. Kupotea kwa msaidizi kabisa wa mwenyekiti ambaye wako wote wanajua nini kinafanyika alafu wanajifanya kukaa kimya wanarushia mpira serikali,,

7. Tukio la mwanafunzi kupigwa risasi tujiulize maswali haya,
Tuna uhakika gani kama CHADEMA hawakupanga suala ili kwamba tulete vurugu alafu wakati wa kutulizwa sisi tupige watu risasi?? ili kutafta huruma ya wananchi?
maswali muhimu
a. binti alikuwa wapi kipindi risasi inapigwa
b.alikuwa ameambatana na nani
c. dereva wa dala dala wanayosema alikuwako anaweza ulizwa akaongea neno?
d. hakuna abiria waliokuwa karibu naye?

najua kwa uoga wa ma mods wanaweza ondoa uzi huu lakin hii itabaki vichwani mwa watu makini wanaojua kufikiria hata kama haitakuwa kwnye maandishi, tumechoka sasa , hawa watu washughulikiwe kuanzia mwenyekiti,

Mpumbafu kabisa ww.
 
Kwahiyo uko kinyume na mambo sasa, jaribu kushirikisha ubongo kwenye mambo sensitive kama haya
 
Kabla sijakuweka kwenye list ya watu niliowa-ignore whenever I see there posts naomba unihakikishie kuwa upo vizuri upstairs.

Ikiwa hao uliowashuku ndio walifanya matukio kama unavyodai ni nini kazi na wajibu wa polisi basi?

Mbona kwa muda wote wameshindwa kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya kutoa haki hao unaowashuku? Kumbuka serikali inayosimamiwa na chama kikekile haijabadilika, iko wapi dhamira yao ya kulinda raia na mali zao?
Kwanini basi waendelee kuaminiwa?
Kwanini basi raia wasiamini kuwa wao ndio wahusika iwapo wameshindwa kuwakamata wahusika kwa matukio yote hayo? Ku wapi basi kujisifu kwao kwamba wao ni jeshi la kisasa lenye intellegensia kali lakini kwa matukio yote wameshindwa kuwang'amua wahusika na kuwakamata. Iweje na wao wabaki kulalama kama wale wasiokuwa na vyombo vya ulinzi na uchunguzi?
 
ku ignore mtu ni udhaifu wa hali ya juu mno
 
Nami pia napata Mashaka watanzania kukosa ajira, watumishi kukosa stahiki zao chadema wanaweza kuwa wanahusika ili kupata sympathy ya watanzania. Hata Tundu Lissu mwenyewe kwa kuwa ni chadema huenda alijipiga risasi ili apate kiki.
 
Back
Top Bottom