Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 684
rip ccm na mimi jana niliona vikongwe nikafikiri watu wanaenda kwenye mazishi
kaburi lao lipo baharini, we gonna use USA tacticsLeo nimeona CCM wakifanya Maandamano Singida wakiwa Katika Ziara ya keelezea Kujivua Gamba
Kwa Nilichokiona Katika yale Maandamano hakika naweza Sema kwamba Kweli CCM ni Chama Kikongwe na Wanachama wake wengi ni Vikongwe na Kutokana na Hilo KINAELEKEA Kaburini.
Buriani CCM
Mlisema hivyo hivyo 2010 mkaambulia wabunge 23! CCM 189
pole sana kwa taarifa yako ccm itatawala miaka mingine mia moja ijayo sababu kubwa ni kwamba upinzani umekosa viongozi makini.mfano mbowe anahutubia wananchi huku anajisifia ya kuwa ni lazima watasusia baadhi ya maamuzi ya bunge kwa kutoka nje kama si utoto ni nino
hizo ni ndoto za alinacha endeleeni kupiga kelele tu ikifika 2015 tuwalize tena kama kawaida yenu mlalame kuwa matokea yamechachuliwa.wimbo wenu wa ufisadi umepitwa na wakati tafuteni mziki mwinginetatizo ni kuwa ccm hawana tena hata ufahamu wa kusoma alama za nyakati. kila mwenye ufahamu na hata ndani ya ccm wanajua kabisa ccm imepoteza ladha. hao wanaobisha wao waendelee na shingo ngumu hivohivo mpaka watakapozama nayo baharini
hizo ni ndoto za alinacha endeleeni kupiga kelele tu ikifika 2015 tuwalize tena kama kawaida yenu mlalame kuwa matokea yamechachuliwa.wimbo wenu wa ufisadi umepitwa na wakati tafuteni mziki mwingine
Narudia tena CCM wameongoza Maandamano ya Wamama na Vikongwe na Mmoja wa waliohutubia ni James Lembeli Taarifa ya Habari ITV Saa Mbili Usiku
Hata mimi nataka kisife ili kishuhudie wengine wanavyoongoza.
Leo nimeona CCM wakifanya Maandamano Singida wakiwa Katika Ziara ya keelezea Kujivua Gamba
Kwa Nilichokiona Katika yale Maandamano hakika naweza Sema kwamba Kweli CCM ni Chama Kikongwe na Wanachama wake wengi ni Vikongwe na Kutokana na Hilo KINAELEKEA Kaburini.
Buriani CCM
Sekretariat ina enda Singida kesho naona maandamano hayo ni ya nini? Na kwa taarifa zilizopo wao watakua na mkutano wa hadhara na sio maandamano! Pole na Uongo wa Mchana kweupe ndani ya JF!
Unazungumza ukweli mkuu. Leo nilikuwa nazungumza na mwenyekiti wa mkoa mmoja wa ccm akaniambia anahofia ccm imeshakufa kabisa. Alisema ukitaka kujua soma magazeti ya leo utaona maandamano makubwa ya cdm lakini ni gazeti moja tu tena kwa maneno machache sana limeandika kuhusu maandamano ya ccm singida. Kama chama kinakosa hata coverage si kufa huko ni nini?Kweli CCM imepoteza Mvuto hata Miongoni mwa Wanachama. Wenzenu CDM wanafanya Maandamano Mbeya na hata Bibi yangu kule Mwanza anafahamu leo hii Wana CCM wa JF hamna habari kwamba Chama chenu Kimefanya Maandamano?
Kweli CCM ni chama Kinachokufa