Vipi safari hii hawakuwapata wanafunzi wa shule za msingi kujazia idadi? ...au walikua likizo??
fuso ngapi zilileta watu...? je pilau ilikuwepo....?
Vipi safari hii hawakuwapata wanafunzi wa shule za msingi kujazia idadi? ...au walikua likizo??
pole sana kwa taarifa yako ccm itatawala miaka mingine mia moja ijayo sababu kubwa ni kwamba upinzani umekosa viongozi makini.mfano mbowe anahutubia wananchi huku anajisifia ya kuwa ni lazima watasusia baadhi ya maamuzi ya bunge kwa kutoka nje kama si utoto ni nino
CCM ipo siku itaondoka, hivi sasa imebaki na njia moja kuchakachua ikizibwa hiyo na katiba mpya safari itakuwa imefika maana saizi haina mvuto kwa wananchi licha ya kujivua gamba.pole sana kwa taarifa yako ccm itatawala miaka mingine mia moja ijayo sababu kubwa ni kwamba upinzani umekosa viongozi makini.mfano mbowe anahutubia wananchi huku anajisifia ya kuwa ni lazima watasusia baadhi ya maamuzi ya bunge kwa kutoka nje kama si utoto ni nino
Mkuu wangu Sijatunga hizi Habari nimeziona Mwenyewe kwenye Taarifa ya Habari, nimeona CCM wakiandama lakini wengi wa Waaandamanaji ni Vikongwe
Dua la kuku! Sisiemu wanaongoza kwa kupata wabunge wengi wa majimbo chadema mna wabunge wa majimbo 23 wao 188 sasa dalili za kuingusha ni maandamano mnayofanya? CCM sio ya kuanguka mapema hivyo!
Hata mimi nataka kisife ili kishuhudie wengine wanavyoongoza.CCM shall never die!
Hilo si hoja tatizo lenu hamuangalii taarifa za habari, jana ungeangalia ITV CCM waliandamana kumuunga mkono mwenyekiti wao kwa suala la kuvua gamba, huko Kahama; sasa wewe unabisha nini; kwataarifa yako ni kwamba asilimia 99 walikuwa vikongwe na wazee; waongeaji walikuwa wanashindwa hata kuongea kilichowafanya waandamane; hii inaonenyeha wananchi hasa wazee wasivyoelewa dhana ya kujivua gamba; LAKINI CCM TANGULIA KABURINI; BURIANI; KANSA ANAYOISEMA MAHANGA NDO INAUA CHAMA CHENU.HUKU NI KuSHUSHA kabisa heshima ya forum hii, CCM wanawapokea Sekretarite yao kesho sasa hayo maandamano ya wapi? Khaaaaaaa inatia kichefuchefu unatufurahisha hapa kwa uongo na uzushi. Kwaheri CCM, RIP CCM
Narudia tena CCM wameongoza Maandamano ya Wamama na Vikongwe na Mmoja wa waliohutubia ni James Lembeli Taarifa ya Habari ITV Saa Mbili Usiku
Narudia tena CCM wameongoza Maandamano ya Wamama na Vikongwe na Mmoja wa waliohutubia ni James Lembeli Taarifa ya Habari ITV Saa Mbili Usiku
pole sana kwa taarifa yako ccm itatawala miaka mingine mia moja ijayo sababu kubwa ni kwamba upinzani umekosa viongozi makini.mfano mbowe anahutubia wananchi huku anajisifia ya kuwa ni lazima watasusia baadhi ya maamuzi ya bunge kwa kutoka nje kama si utoto ni nino
mkuu hao ni jamaa wako nje ya nchi hayajui kinachoendelea nchini! NDO TATIZO HILO!Tunajua watu kama ninyi bado mpo ambao wala hamuelewi la mbele wala la nyuma na hata kinachoendelea katika Tanzania hii hukijui. Hilo dua lako la ccm kutawala tena miaka mia moja inaonyesha kichwani kwako kunahitajika ukarabati wa kuelimishwa. Ni sawa umelala na mtu kitandani kumbe ameshakufa muda mrefu lakini wewe ndiyo unamfunika baridi lisimpige. Bado kuna watu wa sampuli yako wengi katika Tanzania hii ambao mnaona ccm ndiyo baba yenu na mama yenu na bila hiyo ni sawa na kufa. Amka kutoka usingizi huo mzito.