esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
Kwa akili aliyonayo devis mosha ninakuwa na shaka na kabila lake...anaweza kuwa mnyasa Huyu....MKATENI
davis kachanganyikiwa, alijua atatumia pesa kupata ushindi, kumbe watu wa Moshi ni wagumu,
Michagga mingi humu JF
acha chuki za ukabila...kuna wachagga kila chama...kutofautiana kiitikadi kusikufanye uchukie kabila zima...
Wanaenda kwa mkuu wa mkoa au wanaenda kwa kdada mwenzao wa Ugambani..?
Rekebisha tafadhari kauli uako isomeke kuwa wanaenda kwa kada mwenzao.
Kuna chuki kwenye sentensi yangu.
Michagga mingi humu JF
Nilitegemea watu kama Aggrei Marealle, Boisafi ndio labda CCM wangehakikisha ndio wanagombea hapo Moshi mjini ili kupambana na CHADEMA.
Kwa ajabu kabisa nikashangaa muhuni wa bar, muuza unga, mjanja mjanja wa Dar, checkbob, dalali wa kinondoni ndio anagombea Moshi mjini kwa tiketi ya CCM?
Kwamba mikoa mingine hawajaenda shule? Na kama wameenda shule wao wanapatikana mitandao ipi?Kitu nilichokigundua watu wengi wa humu ndani wanatokea amma wa asili ya Arusha na KLM/Moshi
....si sisisi
Kanywe mbege na kisusio akili zikurudie.Kwenda shule na kutumia JF kuna mahusiano gani???Kwamba mikoa mingine hawajaenda shule? Na kama wameenda shule wao wanapatikana mitandao ipi?