Maandamano ya Amani Nchi Nzima

Watunzania mnangoja nini hadi madaktari wanagoma kazi.
 
maisha siyo magumu kwa wengi kama huna kazi kalime
Wewe Salas wewe, sasa nikilima halafu hata kuuza naamlishwa kuuza bei ndogo pamba yangu hapo inakaaje?
Kisa kampuni inayonunua Pamba ni ya mtoto wa Mkulu
 

Tusisemetu alafu yakaishia hapa jf mm naomba tupange siku rasm ya kuanza maandamano vinara tuanye cc arusha au mbea. Au kanda ya juu kusini.naomba kuwakilisha
 

vipeperushi na kueli,ishana ndo njia.

Sio watanzania wote wanaweza kupata hizi habari kwenye magazeti au jf.

Tuandae vipeperushi na tugawe bure kwa watanzania.

Inabidi tukumbushane
 
Asante kiongozi,jamani watanzania tuamke sasa,tufanye maamuzi magumu kuinusuru nchi hii katika mikono ya wany'ang'anyi. Tujieleze kwa nn tuna rasilimali za kila aina lakini bado ni masikini? Viongozi wetu wanauimba wimbo wa umasikini lakini wao hawachezi step za wimbo huo,maisha yao na familia zao hayaakisi yale wanayoyahubiri. Mbona hatuwaoni wakitibiwa kwenye hospitali zetu? Km wanaona huduma za nje ni bora zaidi kwa nn wasiwapeleke watanzania wote huko?au wamsahau kwmba hela wanazotumia ni kodi zetu? Au sisi hatupendi kuishi muda mrefu? Kwa nn wasiboreshe hospitali zetu ili zifanane na za wenzetu? Kwa nn hawajifunzi kutoka kwa wenzao ? Mbona hatuwaoni watoto wao kwenye shule za Kata? Hii elimu ya Kata inayofundishwa na walimu wa wiki 4 wamemuwekea nani? Kila siku majukwaani wanaisifia mbona sasa watoto wao hatuwaoni? Au Ulaya kuna Shule za Kata kama huku zisizo mna vitabu wala madawati na walimu? Inauma sana

TAFAKARI NA UCHUKUE HATUA
 
vipeperushi na kueli,ishana ndo njia.

Sio watanzania wote wanaweza kupata hizi habari kwenye magazeti au jf.

Tuandae vipeperushi na tugawe bure kwa watanzania.

Inabidi tukumbushane

Anza sasa usingoje kesho,
Kama siyo leo lini?
Ama kama siyo wewe nani?
Ni sisi, mimi na wewe.
 
uchochezi mchana kweupe!

Tatizo lako umejichanganya ktk jukwaa lisilokuhusu, sidhani kama wewe ni greatthinker.
Inaonekana hata hufahamu kwa nini una maisha magumu.
Ugumu wa maisha yako umetengenezwa ili baadhi wanufaike.
 
Wenzenu tumeziba njia hapa, tuleteeni maji polisi wako hapa Salender bridge inaonekana uvumilivu unataka kuwashinda
 
sawa tutafuata sheria lakini mpaka hicho kibali cha kuandamana kitoke i will be dead .,,,,,,,,,,,,,,,,,,system haiko sawa ndio maana ina takiwa katiba mpya watu watoe dukuku zao kwa haki na usalama

arusha na mbeya wataanzisha kuandamana maana huku ndio kuna watu wanaojua haki ya mtanzania ni nini kisha nyie wengine mtafuatia maana huku kufa kwa kulitetea taifa ni jambo la kawaida
 
CHADEMA mko wap, wananchi wapo tayar sasa, ile saa ya ukomboz imewadia,
nyie ni kuorganize tarehe na mahali pa kuanzia tu.
 
Tusiitegemee CDM, pamoja na uozo wote huo bado watanzania tuko kimya.

Wananchi wenye uchungu na nchi hii tunawaacha wachache watafune rasilimali za taifa, not more than 50 familiers!!!

Iwe wana Xicm au CDM, Cuf, NCCr, watu wote waungane kusema noo.

Nani apange mikakati wakati hatuna waandaaji, wananchi wapo tayari ila hakuna mpango.


kuwe na VIwanja vya kuanzia KILA MKOA, MWANZA WAPI, MBEYA WAPI, ARUSHA WAPI, MOSHI WAPI, MANYARA WAPI, SAME WAPI.

TUHAMASISHANE KWA SMS, LET US SATELITE PHONE, NO BODY WILL TRACE YOU!!

WATU TUAMKE SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI, HAICE ZIGOME, DALA DALA ZIGOME (KAMA ARUSHA) BARABARANI KUWEKWE VIZUIZI. HAKUNA MTU KWENDA KAZINI.
 
Hivi nyie mnamvijua virungu mnavichezea??
Haya...shauri yenu.
 
Na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…