Maandamano ya Amani (Godbless)

Maandamano ya Amani (Godbless)

Usituchukulie poa ,"kitanda changu kilaza degree 7 ,4 za kwangu 3 za mke wangu na ukiona gari langu linapita Manzese piga simu polisi litakuwa limeibiwa "
[emoji38][emoji38]
7°c siyo?
Degree na gari zako zinanihusu nini!? BTW, na degree zenu na mkeo bado zero anawaendesha atakavyo!
 
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?

wapi.unamjua unamsikia
 
7°c siyo?
Degree na gari zako zinanihusu nini!? BTW, na degree zenu na mkeo bado zero anawaendesha atakavyo!
Utakufa na stress bure wewe sio kila kitu nis serious vingine mizaha tu halafu hukuona quotation mark hapo
Huyo ni Lecturer mmoja hivi UDSM ndiye anasemaga hivyo
 
Back
Top Bottom