Maandamano ya Amani (Godbless)

Maandamano ya Amani (Godbless)

Andamana pekee yako, maana wewe ndio unagawana posho za Ubunge na Lema
 
Ukuta ulikuwa na nguvu mpaka leo viongozi wa dini hawajatupa mrejesho wa makubaliano ila tunajua UKUTA HAUKUWEPO.
Leo una taka maandamano ya kutoa KILEMA.
 
Kamanda, andamana tu hata peke yako watu watakuona na ujumbe wako utafika usisubili wa majumbani. Joyce Kiria aliandamana peke yake wakati mmewe yuko nyuma ya nondo kwa ugaidi.
 
Ndo utakoma sasa, mi binafsi namfuata JPM. hiyo katiba kama unayo chumbani kwako ifuate peke yako. kama katiba inakuruhusu maandamano, andamana uone JPM atakavyokutengua taya. mjinga wewe, kusoma hujui hata picha huoni.?
Ww ni kichwa maji
 
Huko ni kuingilia Uhuru wa mahakama.Ila km unakereketwa na kifurukutwa sana na hali hiyo basi andamana.
mahakama yenyewe ndio haipo huru au haijitambui.watakatishaji pesa za escrow wanapewa zamana,wanaokamatwa na silaha hupewa dhamana ila anayeota ndio ana tenda kosa kubwa kuliko yote hayo nahastahili dhamana. ha ha ha ha kigumu chama cha chetu
 
Shetani anajisifu sana kwea sasa 'duniani' kwamba anaelekea kumshinda Mungu. Mungu hashindwi wala hajaribiwi. Siku zaja Utawala wa Mungu atajidhihirisha kwa sifa na utukufu wake. Lema, Tuko pamoja na Mungu wetu anatupigania.
 
Yaelekea huna kazi ya kufanya.Chukua familia yako(kama unayo)au wajinga wenzako muandamane,na kitakachowapata hamtasahau kamwe.What is lema.Let him rest there forever,dem shit.

Roho ya chuki ni kitu Kibaya sana! Ni Kama Roho ya HUSDA huwa inamtesa siyo Yule aliyekusudiwa ubaya lakini hata Yule Mwenye kumfanyia Mtu ubaya nae anakuwa kwenye tabu pia! Mtu Mwenye chuki hanaga furaha hata apate kumiliki dunia yote Na vitu vilivyomo hawezi kuona furaha Na utoshelevu ! Mungu mwenyewe ameweka Rehema zake kuwa mpya kila Siku asubuhi Na Ndiyo maana hatuangamii ! Maombolezo 3:20 ! Pia imeandikwa ktk Mithali afanyaye visasi mabaya hayataisha kwake! Mwenye chuki chuki huanza kumla yeye mwenyewe hadi mifupa! Upendo husitiri wingi wa makosa! Hekima Na Busara ya Mwenyezi Mungu Ndiyo muhimu kuliko vyote!
 
Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
Cowards, mnaandana vyumbani kwenye keyboards.
 
Anza Wewe mbona Sijasikia mchaga aliyekufa kwenye maandamano ya chadema
 
Endeleeni kudanganyana nyie mab.oya! Hivi ajali za barabarani zimeletwa na magufuri?! Ndo maana imekuwa rahisi kweli kwa zero wa form six kuongoza hicho chama, maana hamna wenye akili!!!
We kweli Ni zero halafu unajiita mwanaume, fyuuuuuu
 
Lets us organize pliz, Arusha is something else jombaaa
 
mahakama yenyewe ndio haipo huru au haijitambui.watakatishaji pesa za escrow wanapewa zamana,wanaokamatwa na silaha hupewa dhamana ila anayeota ndio ana tenda kosa kubwa kuliko yote hayo nahastahili dhamana. ha ha ha ha kigumu chama cha chetu
Kila kesi ina namna yake.
 
Back
Top Bottom