Maandamano ya Amani (Godbless)

Maandamano ya Amani (Godbless)

Yaani unawashawishi watu wafanye maandamano kienyeji tena bila kibali waanze kwanza viongozi wa chama na nyie wanazi wa Lema wengine watafuata kuliko kujitia kihelehele wakuu wenyewe wa chama wamekaa kimya hawaoni umuhimu wa maandamano?
Mabadiriko ni Mimi nawewe sio tusubiri mbowe na haya maandamano niya amani
 
Pia hata kauli yako ni ya uchochezi hapo unaposema kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane swali langu ni wewe ukiwa wapi hadi ushawishi waungane from no where? Mabadiliko yanaanza na wewe anza wewe kwanza.
Sipo nyumbani tz kwa sasa ningekuwapo ningeanzisha vuguvugu hili maandamano ya amani
 
Yaelekea huna kazi ya kufanya.Chukua familia yako(kama unayo)au wajinga wenzako muandamane,na kitakachowapata hamtasahau kamwe.What is lema.Let him rest there forever,dem shit.
Uwezo wako wa kufikiri na kuona umekwisha
 
we nae sijui una matatizo ya kusahau sahau. we hukumbuki JPM alipiga marufuku hayo maandamano na viongozi wako wote Lowasa, Mbowe na wengine wote hata huyo Lema mwenyewe wakatii amri.

sasa hizi ndoto zako tena za maandamano umeziota saa ngapi.? au wewe ni mke wa Lema unataka kuwapima upepo UKAWA wana msimamo gani.? Nakushauri tuu, acha ndoto zako hizo za ajabu ajabu.
Kwanza futa kauli yako kuniita mke wa Lema Mimi ni Mwanamume,
Magufuri Tanzania Si yake pekee ni ya wa Tanzania wote na maandamano ni haki ya msingi kikatiba
 
Endeleeni kudanganyana nyie mab.oya! Hivi ajali za barabarani zimeletwa na magufuri?! Ndo maana imekuwa rahisi kweli kwa zero wa form six kuongoza hicho chama, maana hamna wenye akili!!!
Hujui kama hujui
 
Watu kama nyie ndo mnafanyaga nitaman watu wote duniani wangesomaga sheria ili ujue utendaji wa mahakama ukoje

Ila kwa kuwa ndo basi tena fanya kapitie hizi Article za Katiba Art 107A na Art 107B ndo urudi kupost matope yako umu
Hoja ya msingi sio sheria unatumiaje rasilimari za wanyonge kupambana na lema huku mahospital hayana Dawa hakuna madawati mashuleni inatumika nguvu kumnysnyasa Lema
 
Yaelekea huna kazi ya kufanya.Chukua familia yako(kama unayo)au wajinga wenzako muandamane,na kitakachowapata hamtasahau kamwe.What is lema.Let him rest there forever,dem shit.
Una aibisha huo ubini wa Mollel hakuna Masai wa aina hii
 
Endeleeni kudanganyana nyie mab.oya! Hivi ajali za barabarani zimeletwa na magufuri?! Ndo maana imekuwa rahisi kweli kwa zero wa form six kuongoza hicho chama, maana hamna wenye akili!!!
Usituchukulie poa ,"kitanda changu kilaza degree 7 ,4 za kwangu 3 za mke wangu na ukiona gari langu linapita Manzese piga simu polisi litakuwa limeibiwa "
[emoji38][emoji38]
 
Umeanza vizuri ila hapo tu kwenye BOLD pana shida kidogo, acha unafki na nidhamu ya woga.
Mkuu nipo inje ya tz na sijawahi kuwa muoga kwa mwanadamu namuogopa Mungu pekee
 
CHADEMA Taifa kumuacha hadi leo Lema mahabusu ni kielelezo chama kimekufa
CHADEMA kuhairisha Operesheni zao sababu ya vitisho vya Rais ni kielelezo kama chama kimekufa
Hakuna utawala Afrika unao wapa wapinzani haki bila kitimtim
Kama kungekuwa na upinzani thabiti Lema angetoka siku nyingi sana
Hamna viongozi waoga kama hawa wa CCM
Lkn kaja Lowassa na u CCM wake kutuhadaa kuwa kuandamana ni uharakati na umepitwa na wakati
CHADEMA ya 2011-15 huku Dr Slaa kule Heche kule Lema hawa CCM wasingekataza maandamano
Kwa heri CHADEMA!
 
Inaonekana umeandika ili nawe uonekane u.a uchungu kama una uchungu sana kuliko wanachama amka asubuhi ukusanye kuku ilionao mbuzi,kondoo,bata nk uanze msafara wa kwenda Ikulu
 
Hoja ya msingi sio sheria unatumiaje rasilimari za wanyonge kupambana na lema huku mahospital hayana Dawa hakuna madawati mashuleni inatumika nguvu kumnysnyasa Lema
Hoja ya msingi sio sheria? Mkuu uko serious kweli???

Rasilimali unazozungumzia ww n zip lbd mkuu
 
sidhani kama kutakuwa na maandamano maana raisi ni mkatoliki mwenzetu tena mseminari
 
Uwe wewe wa kwanza kufa sisi tufuate so tunategemea utaongoza hii riot
 
Back
Top Bottom