Maandamano ya Amani (Godbless)

Siafu na Manga

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
2,760
2,000
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
umesema kwa waliopo nyumbani hebu fanya kurudi uongoze hayo maandamano sio kushawishi wenzio ili hali wewe haupo...
 
Polycarp Isaya Urio

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,008
2,000
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Huko ni kuingilia Uhuru wa mahakama.Ila km unakereketwa na kifurukutwa sana na hali hiyo basi andamana.
 
Ongata

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
525
1,000
Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
 
Willy Johnson

JF-Expert Member
Aug 29, 2016
318
250
Yaani unawashawishi watu wafanye maandamano kienyeji tena bila kibali waanze kwanza viongozi wa chama na nyie wanazi wa Lema wengine watafuata kuliko kujitia kihelehele wakuu wenyewe wa chama wamekaa kimya hawaoni umuhimu wa maandamano?
 
Willy Johnson

JF-Expert Member
Aug 29, 2016
318
250
Pia hata kauli yako ni ya uchochezi hapo unaposema kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane swali langu ni wewe ukiwa wapi hadi ushawishi waungane from no where? Mabadiliko yanaanza na wewe anza wewe kwanza.
 
Wamunzengo

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
810
250
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
we nae sijui una matatizo ya kusahau sahau. we hukumbuki JPM alipiga marufuku hayo maandamano na viongozi wako wote Lowasa, Mbowe na wengine wote hata huyo Lema mwenyewe wakatii amri.

sasa hizi ndoto zako tena za maandamano umeziota saa ngapi.? au wewe ni mke wa Lema unataka kuwapima upepo UKAWA wana msimamo gani.? Nakushauri tuu, acha ndoto zako hizo za ajabu ajabu.
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,047

JPM JPM JPM ni nini hiyo? Ni mtu au kitu gani!! Bulshit tunafuata katiba hatufuati watu wala vitu hapa!! To hell with your slavery thinking.
 
stemcell

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
677
1,000
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Inchi yangu?nani alikuambia tulimchagua ili aote?tulimchagua alete maendeleo,huko aliko yuko salama ataota bila ya kusumbuliwa,akipona ataachiwa,tuandamane mtu kupata tiba?hujui dalili ya kwanza ya ugonjwa wa akili ni kutotofautisha ndoto na ukweli.
 
Wamunzengo

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
810
250
JPM JPM JPM ni nini hiyo? Ni mtu au kitu gani!! Bulshit tunafuata katiba hatufuati watu wala vitu hapa!! To hell with your slavery thinking.
Ndo utakoma sasa, mi binafsi namfuata JPM. hiyo katiba kama unayo chumbani kwako ifuate peke yako. kama katiba inakuruhusu maandamano, andamana uone JPM atakavyokutengua taya. mjinga wewe, kusoma hujui hata picha huoni.?
 
Panapet

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
749
500
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?

. Mie binafsi siwezi poteza mda wangu huyo lema akae humo hadi anyooke ajue kuchapa kazi aache ulofa .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom