Maandamano ya Amani (Godbless)

Maandamano ya Amani (Godbless)

Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Amenyimwa lini dhamana? Kwa nini amenyimwa dhamana?
 
Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
Endeleeni kudanganyana nyie mab.oya! Hivi ajali za barabarani zimeletwa na magufuri?! Ndo maana imekuwa rahisi kweli kwa zero wa form six kuongoza hicho chama, maana hamna wenye akili!!!
 
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Watu kama nyie ndo mnafanyaga nitaman watu wote duniani wangesomaga sheria ili ujue utendaji wa mahakama ukoje

Ila kwa kuwa ndo basi tena fanya kapitie hizi Article za Katiba Art 107A na Art 107B ndo urudi kupost matope yako umu
 
Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
Nakuhesabu wewe hivi sasa unatafutiwa selo ya kuwekwa gereza lililo jirani yako maana wakati wowote utakamatwa, na hao wenzio utakaowaacha nje labda waandamane na comments htďďumu Jamii Forum.
 
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?
Umeanza vizuri ila hapo tu kwenye BOLD pana shida kidogo, acha unafki na nidhamu ya woga.
 
Unataka kushinikiza na kuingilia uhuru wa mahakama? Mahakamani ni nguvu ya sheria sio nguvu ya umma.Usichanganye mambo.
Kinacho fanyika Si sawa kwanini Serikali itumie gharama kubwa kwa Lema pasipo sababu kosa kubwa la Lema ninini?

Mahakama wana kesi nyingi zenye tija kwa Taifa kwa nini ya Lema isumbue Tatizo ni mkono wa Serikali ndani mahakama hatuna mahakama huru tena
 
Kama mpenda amani katika inchi yangu sipendi kuona kinachompata Lema.

Kwa wapenda mageuzi mlioko nyumbani kwanini msiungane maandamano ya amani kupinga kunyimwa dhamana kwa mh- Godbless Lema?

Hiyo ni mahakama baada ya kutafsri sheria sio siasa, Vinginevyo unahamasisha vurugu, Nikuombe utangulie mbele wewe na familia yako muongoze maandamano.
 
umesema kwa waliopo nyumbani hebu fanya kurudi uongoze hayo maandamano sio kushawishi wenzio ili hali wewe haupo...
February,narudi kama Lema Hata kuwa ametoka maandamano nitayahamasisha ni haki ya Mwanainchi kikatiba.
 
Hata mimi naunga mkono maandamano hata Kama polisiccm wataua watu wataua watu watano lakini ujumbe utakuwa umeifikia mahakama za ccm,tumeona Drc wamefanikiwa,Kabila atakaa mwaka mmoja tu bila maandamano angekaa milele,kuna Kama watu 40 wamekufa lkini amekubali shinikizo la umma,hapa tz huyu mtu wa Chato taifa likiendelea kumuogopa hata wake zetu anakaribia kutunyanganya,watakao kufa wafe,ukienda hospitali zetu kila siku watu wanakufa,nenda kwenye ajali watu wanakufa,hakuna haja ya kumwogopa .
Mkuu ni kweli ukizaliwa utakufa haipaswi kuogopa chochote hata Egypt wakakati wa maandamano ya kumpinga Mubarak wengi walikufa na wengine walisonga mbele.
 
Back
Top Bottom