Gurudumu
JF-Expert Member
- Feb 5, 2008
- 2,349
- 261
Wanafunzi wa elimu ya juu Uingereza wanaendelea kuandamana wakipinga ongezeko la ada. Walimpigia kura Nick Cleg kuunga mkono sera ya chama chake kuhusu elimu kwa wote. Wanamlaumu Nick kujiunga kujiunga katika serikali ya umoja wa kitaifa hivyo kusaliti wapiga kura wake.
Pengine hili linatoa mfano kwa wanafunzi wa elimu ya juu wa Tanzania namna ya kudai na kutetea haki zao na vizazi vijavyo
lakini mfano huu nadhani pia unatoa funzo kwa wale wachache wanaoshabikia serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa upana wake, mfano huu unaashiria kwamba nguvu ya upinzani ikipungua bungeni, nguvu hiyo inahamia mitaani.