Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
we nae unaonekana kama ulikuwako kwenye maandamano? mbona umechoka chokaHaya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Ndiyo nilikuwepo kuitetea nchi yangu! Uliza kingine?we nae unaonekana kama ulikuwako kwenye maandamano? mbona umechoka choka
Ndiyo nilikuwepo kuitetea nchi yangu! Uliza kingine?
Ungetaka kujua ungekuja na wewe.Safi sana, wamewaambiaje? wanaiachia?
😂😂😂Eti Palamangamba ndiyo waziri wa mambo ya nje
Mimi nilikuwa na kikao na wawekezaji kutoka Lesotho siku nzima leo, tunawazungusha kibiti huku wawekeze kwenye kilimo.ama sivyo ningekuja.Ungetaka kujua ungekuja na wewe.
Siku hao wawekezaji wakija!Mimi nilikuwa na kikao na wawekezaji kutoka Lesotho siku nzima leo, tunawazungusha kibiti huku wawekeze kwenye kilimo.ama sivyo ningekuja.
wanaiachia lini?
Bora muokota makopo Yericko kajitahidi kaandika kitabu, wewe Prof ukiambiwa uandike barua ya kazi yenye page moja jasho mwili mzima....Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Nakubaliana na wewe pamoja na yote nimemshangaa sana na kuona aibu kwa kitendo kilichotokea...tumejidhalilisha sana...kwa hiki kilichotokea huyo kabudi ni bora asiongee ataharibu zaidi...Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?
Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?
Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.
Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.
Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.
Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.
Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.
Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.
Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!
Hoja inapotolewa na mtoa hoja muokota makopo lazima tumzungumzie. BTW mimi ni mkulima na siyo Prof. Hakuna kitu kama mtu ''kujitahidi'' kufanya ujinga duniani na hatuwezi kupongeza eti fulani ''kajitahidi'' kufanya ujinga! Hili ni ajabu jingine linalopatikana kwa ''vichwa nyumbu'' tu!Bora muokota makopo Yericko kajitahidi kaandika kitabu, wewe Prof ukiambiwa uandike barua ya kazi yenye page moja jasho mwili mzima....
Badala ujikite kwenye hoja kuu unaandika uharo..
Eti Palamangamba ndiyo waziri wa mambo ya nje