Maandamano Ubalozini: It’s shocking hakuna any statement from Foreign Affairs? Tumeamua kuingia mgogoro wa Kidiplomasia?

Elice Elly

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
1,153
2,000
Hoja inapotolewa na mtoa hoja muokota makopo lazima tumzungumzie. BTW mimi ni mkulima na siyo Prof. Hakuna kitu kama mtu ''kujitahidi'' kufanya ujinga duniani na hatuwezi kupongeza eti fulani ''kajitahidi'' kufanya ujinga! Hili ni ajabu jingine linalopatikana kwa ''vichwa nyumbu'' tu!
Afya ya akili inaonekana haipo sawa.
 

shamajengo

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,083
2,000
Ninauhakika wale waandamanaji wangekuwa na t-shirts za chadema lazima foreign affairs wangetoa tamko na pia hao jamaa mpaka sa hizi wameshapewa kesi isiyokiwa na dhamana kama siyo uhaini, ugaidi, basi utakiwa utakatishati fedha trust me!!!!
 

Vonix

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
2,574
2,000
Jamani msiliangalie hill tukio kisiasa tu hili inaonyesha elimu duni tulionayo watanzania uwezo wetu wakuelewa mambo ni mdogo sana.sasa imefika wanaoshika uongozi hasa katika siasa wanaelimu duni au exposure zero,na wajanja wachache ndani ya vyama wanawapromote haraharaka ilikuwatumia kisiasa wewe ukionyesha weredi hawataki kukuona kabisa.Tunakokwenda tutahadhirika zaidi
Mbali na uduni wa elimu kwenye ukanda wetu huwezi kuta watu wameandamana kuelekea wizara ya elimu kwa kudanganywa elimu bure.
 

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
1,851
2,000
Sema huna uwezo wa Kujenga hoja. na kwa nini hapo Lumumba wafiwafundishe kujenga hoja?

Yaani umeona ukisema muokota makopo utaonekana umemjibi kumbe unaonekana fala.
Jenga hoja mpige kwa hoja kama huna uwezo kaa kimya.
Hoja inapotolewa na mtoa hoja muokota makopo lazima tumzungumzie. BTW mimi ni mkulima na siyo Prof. Hakuna kitu kama mtu ''kujitahidi'' kufanya ujinga duniani na hatuwezi kupongeza eti fulani ''kajitahidi'' kufanya ujinga! Hili ni ajabu jingine linalopatikana kwa ''vichwa nyumbu'' tu!
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,155
2,000
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Mlikuwepo na hamkuandamana! Au kwenu uzalendo ni kwenye vitu tu na uhai Wa wenzenu hauna maana? Au SA hawakuwa na ubalozi nchini? Ifiche hii aibu basi angalau usiwe na akili Kama za musiba!
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
47,501
2,000
Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?

Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?

Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.

Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.

Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.

Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.

Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.

Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.

Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!
Wanasubiri order toka Magogoni waseme nini.

Akili zao wameshikiwa na mtu mmoja.
 

jamvimoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
692
500
Tanzania ni Taifa la waliologwa! Ajabu ni kwamba hata Maprofesa wakipewa Ugali wanaanza kujidhalilisha kwa kusema Wameokotwa Jalalani.
Yale maambiko waliomfanyia nyerere ndiyo wametutia ujinga hivi.mishara kwawana sisa ipunguzwe tuongeze mishahara kwa professionals hii mishahara na marupurupu kwa wanasisa inawatia uchizi watu wanatupa degree na kutumikia ujinga
 

Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
3,095
2,000
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
MUOKOTA MAKOPO KAZI HALALI KBS
 

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,215
2,000
Kwa nini hutaki kusikia kauli ya wizara ya sheria na katiba....ama ya biashara!!!? Si ndizo wizara zinahusika kwa ukaribu sana na sakata hili la ndege!!!
===
Kwenye mada. US ilipora ubalozi wa Russia na Russia ikajibu mapigo kwa visingizio visivyoeleweka...na zote zilikuwa no go area. Baadhi yetu kuonyesha kukerwa...na uhuni unaofanywa dhidi yetu linakuwa tatizo....huko kwingineko mbona watu waandama dhidi yaofisi za balozi tu kuonyesha kuunga mkono ama kupinga na mnakuja hapa mnasema ni haki yao ya kidemokrasia!?

Acheni double standard.
 

stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
20,165
2,000
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Itakuwa walitumwa na ANC,

Hizi mada mara nyingine mtu unajiuliza reasoning ya aliyepost.


Sasa wale waandamanaji anao ushahidi ganikuwa ni CCM??

Ngoja tukanunue kitabu labda tutakuta maelezo ya kina humo.
 
Top Bottom