• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Maandamano Ubalozini: It’s shocking hakuna any statement from Foreign Affairs? Tumeamua kuingia mgogoro wa Kidiplomasia?

Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,757
Points
2,000
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,757 2,000
Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?

Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?

Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.

Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.

Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.

Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.

Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.

Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.

Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!
2149236_tapatalk_1567040208143.jpeg
 
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
2,119
Points
2,000
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
2,119 2,000
Hao walevi wa kimpumu na kibuku mbona hawakwenda ubarozi wa Canada kudai ile ingine? Na ni bora kwanza hata zipo hizo properties zinarandaranda huko wanazikwapua.

Serikali isipolipa madeni ya watu, au isipotumia ustaraabu na kuwamanage wanaotudai ipo siku magufuri atajichanganya kwenda hata hapo Kenya tu na watamkamata kwa amri ya mahakama mpaka tulipe madeni ya watu.
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
11,168
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
11,168 2,000
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
 
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
2,119
Points
2,000
Volatility

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
2,119 2,000
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
we nae unaonekana kama ulikuwako kwenye maandamano? mbona umechoka choka
 
maiyanga1

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
690
Points
1,000
maiyanga1

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
690 1,000
Intelejensia yetu inafanya kazi 24/7 na imeshatoa tahadhari kwa watakaoandamana Tarehe 7/9.
Kwa hiyo leo waandamaji walipewa ofa tu.
Maji ya kuwasha, mabomu ya machozi na vipigo vya mbwa koko vimeandaliwa kwa Tarehe hiyo.
Yajayo yanasikitisha.
 
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
5,645
Points
2,000
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
5,645 2,000
Haya ''wataalam'' wetu wa ujasusi wa dola nao wamejitokeza! Naipenda Tanzania kwa sababu ni sehemu pekee duniani muokota makopo anaweza kuandika ''kitabu cha ujasusi'' na akajiita mwandishi. Haya twende kazi........ Wale wananchi wa South Africa waliokuwa wanaua wageni mitaani kama kuku walitumwa na nani?
Bora muokota makopo Yericko kajitahidi kaandika kitabu, wewe Prof ukiambiwa uandike barua ya kazi yenye page moja jasho mwili mzima....

Badala ujikite kwenye hoja kuu unaandika uharo..
 
D

DURACEF

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
579
Points
1,000
D

DURACEF

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
579 1,000
Hivi nani aliyetoa kibali cha CCM kuandamana kwenda kudai Ndege "yao" Ubalozi wa S.A?, Kama lengo ni kuandamana kisheria na kikatiba basi wangeandamana kwenda wizara ya katiba na sheria kudai haki za kikatiba za kisiasa, kutoa maoni, na utawala wa sheria uliosababisha ndege hiyo kukamatwa kwakutolipa madeni ya watu?

Tumeamua kulidhalilisha taifa letu mbele ya uso wa dunia kiasi hiki kweli? Yaani dunia sasa inaona live kwa Tanzania na watanzania hawataki utawala wa sheria (kuheshimu mahakama) na sasa tunadai ndege kama pombe za ngomani?

Kama kuna mtu anayewalisha ujinga hawa waandamanaji kuwa ndege itaachiwa kwa maandamano basi analichafua zaidi taifa letu, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Polisi Kanda, na vyombo vingine vya kiusalama, taifa letu ni muhimu kuliko hizi siasa nyepesi zinazofanyika hapa. Pelekeni wanasheria Afrika Kusini sio kuwajaza kwenye kesi za kisiasa Kisutu na Mahakama Kuu tu.

Tuheshimu utawala wa sheria kuepuka aibu hizi kwa taifa letu, Ubabe na ujuaji unaishia kwenye mipaka ya taifa letu tu, nje ya mipaka yetu hauna nafasi, sheria za kimataifa ziheshimiwe.

Kwamsio jua naomba niwafahamishe, hili tukio la leo kuvamia ubalozi huku polisi wakiwa mita 300 na Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa across the st. ni serious diplomatic mess ever done tangu uhuru.

Serikali ina jukumu kwa mkataba wa Vienna kulinda mali na wanadiplomasia wote. Yaani hata Polisi haruhusiwi kukaribia geti la ubalozi wowote ule. Hata pale Mozambiq Tanzania Center for Foreign Relations ni no Go area.

Kitendo cha leo ni aibu na fedheha kubwa kwa diplomasia yetu. Yaani Waziri wa Mashauri ya Kigeni Kabudi ana hali mbaya sana. No One will take Tanzania diplomacy serious anymore. Its a blow and serious diplomats know about this. Yaani diplomats are not safe anymore.

Yaani hata kwenye facility za UN hapa Tanzania na kwingineko wale polisi wanaotoa ulinzi hawana access na zaidi ya geti kuu la kuingilia na labda tu kwenda chooni. Its very sensitive issue na RSA wont take that ni wananchi tu eti wameamua kuandamana.

Hao waandamanaji ukiwaangalia hata ndege hawajui mlango uko upande wa kulia au kushoto. Na its shocking hakuna any statement from Foreign Affairs maana the current set up is lacking experience on these issues! Diplomats wanaheshimu statements from Foreign Affairs tu!
Nakubaliana na wewe pamoja na yote nimemshangaa sana na kuona aibu kwa kitendo kilichotokea...tumejidhalilisha sana...kwa hiki kilichotokea huyo kabudi ni bora asiongee ataharibu zaidi...
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
11,168
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
11,168 2,000
Bora muokota makopo Yericko kajitahidi kaandika kitabu, wewe Prof ukiambiwa uandike barua ya kazi yenye page moja jasho mwili mzima....

Badala ujikite kwenye hoja kuu unaandika uharo..
Hoja inapotolewa na mtoa hoja muokota makopo lazima tumzungumzie. BTW mimi ni mkulima na siyo Prof. Hakuna kitu kama mtu ''kujitahidi'' kufanya ujinga duniani na hatuwezi kupongeza eti fulani ''kajitahidi'' kufanya ujinga! Hili ni ajabu jingine linalopatikana kwa ''vichwa nyumbu'' tu!
 
Forum statistics

Threads 1,403,857
Members 531,397
Posts 34,436,601
Top