Maandamano Mwanza kupinga bei ya PAKING TSH 900! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano Mwanza kupinga bei ya PAKING TSH 900!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Marire, Sep 22, 2012.

 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Wakuu salaam,katika pitapita zangu hapa mwanza wananchi wanajiunganisha kufanya maandamano siku yeyote wiki ijayo kwenda ofisi za halmashauri kupinga bei ya 900 kwa kupaking ya gari jijini hapa,kwamba haiwezekani kwa mwezi walipe 27,000 na mwaka 324,000.bei hii ni zaidi ya sitika zote wanazoweka kwenye gari yaani bima,fire,motor vehicle.
   
Loading...