Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
ikiwezekana chadema waongoze na kuratibu hayo maandamano ili waongeze nguvu... hakina ukombozi umefika...
Hawa jamaa katiba wanaichukulia kimzaa mzaa kweli
mkuu hasikilizwi mutu itapitiswa wenye nchi wanasema ni kelele za chula
Katiba ya Nchi wanaifikiri ni barua ya mapenzi.
NA HAPO NDO WATAAMINI KUWA SAUTI YA UMMA NI SAUTI YA MUNGU.i
Watu ninaowaamini kwa maandamano hapa duniani ni WAFARANSA tu.wengine huwa tunabip tu,utleast Pretemps Arab wameonyesha niahaya yatakuwa ni maandano ya tatu kwa nchi nzima kuongelewa jamvini..ngoja tuone..
TANZANIA ITAFANYA KWELI we subiri uone.Watu ninaowaamini kwa maandamano hapa duniani ni WAFARANSA tu.wengine huwa tunabip tu,utleast Pretemps Arab wameonyesha nia