Maandamano Makubwa yalipuka ALGERIA kupinga Serikali

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
KUTOKA ALJAZEERA

MAANDAMANO MAKUBWA YAMEIBUKA ALGERIA KUUPINGA UTAWALA WA ABDULAZIZ BUETFLIKA ULIOPO MADARAKANI TOKEA 1999,HALI NI NGUMU SANA KWA BUETFLIKA NA HUENDA AKAONDOKA MAPEMA BILA UBISHI

IKIWA ALGERIA WANAMPINGA HUYU ALIEKAA KWA MIAKA 12 TUU HATA TANZANIA TUNAHITAJI KUUPINGA UTAWALA WA MABAVU WA jk
 
Nilikuwa nategemea Algeria lazima italipuka...sasa sijui tena kama Arab League itahuika
 
Waarab wameamua, wanataka kujitawala kwa haki na usawa, hii ni jambo jema sana kuelekea democrasia ya kweli, viongozi wa africa bado wapo gizani, wanashindwa kuelewa kuwa muda ndio unasema na tayari ndio unasema!
Qaddafi, Buetflika pisha mageuzi kwenye nchi zenu, nyie sio wafalme mtawale maisha yenu yote!
 
This is a very good lesson to all African leaders; the era of autocratic and dictatorial rule is long gone and the people want to determine their own destiny
 
Sisi tunataka mfumo imara na bora wa kutafuta wawakilishi wetu kwa njia ya kura sio maandamano na vurugu kama hao - tunatakiwa kuwafunza hao hata hivyo wamekuwa wanafunzi wetu maisha yao yote
 
mhh mnashabikia mambo ambayo hamna uwezo nayo hovyooo,yeye jk kakaa madarakani kwa miaka 12:A S 112:
 
tatizo letu hatujui maandamano maana yake nini.? Tukumbuke kama tunazungumza maandamano ya nchi nzima tunamanisha nyumba tunazolala hazipo ndungu zetu hawapo viongozi hawapo maana mnaweza kuanza maandamano wale viongozi mnaotegemeo wawe,wakawa wakwanza kuuawa na maandamano.nyumba uliyotegemea uishi ikawa ya kwanza kuchomwa moto.
 
Hali ya maisha ikiendelea kuwa ngumu hivi tutafika walikofika Misri,. Libya na Algeria! we mara leo bei ya sukari imepanda, sijui mafuta yamepanda bei! umeme ndio kabisaaaaaaa unatupandisha hasira zetu, sio siri tunaelekea kuchoka, jk akae mkao wa kustaajabu wa firauni!
 
mmesikia kali ya TRA tabora?income tax kuanzia mwaka 2011 sh 240 000 ya pikipiki na bajaj toka sh 95 000 ya mwaka 2010.wakati muhindi muingiza meli nzima ya sukari,mafuta halipi kodi na mzungu mchimba dhahabu eti muwekazaji gari lake halilipiwi kodi
 
Sisi tunataka mfumo imara na bora wa kutafuta wawakilishi wetu kwa njia ya kura sio maandamano na vurugu kama hao - tunatakiwa kuwafunza hao hata hivyo wamekuwa wanafunzi wetu maisha yao yote

Unaishi katika ulimwengu wa kusadikika?Unaamini hayo unayoyasema?
 
hapa bongo watu wengi hatujui wajibu wa serikali kwa wananchi , na wananchi tunatakiwa kuwajibika vipi kwa serikali yetu,,,,,utakuta watu hawafanyi kazi kutwa nzima wanapiga domo..........oooh ajira hakuna ,mvua hakuna,wenyekazi hawafanyi kazi maofisini ni kuzunguka na kuchat kwenye mitandao so hapa tuna taka uprising ya nini,?....tuwajibike kwanza ndio tuiwajibishe serikali,,,,,,mfano mzuri yule raia msoni wa ,,,,,aliyekuwa anafanya biashara zake ndogo ndogo hadi polisi kumharrasi na kuamua kujiua.........
 
Back
Top Bottom