Maandamano Makubwa ya wanafunzi Posta kuelekea Ikulu

Maandamano Makubwa ya wanafunzi Posta kuelekea Ikulu

Naona leo intelejensia haijawa applied kwa vile police wamerudi zao na hali ni shwari kabisa labda watakapofika Magogoni ndio itakuwa wamemkanyaga simba mkia
 
Safi sana mkuu kwa information...Hii inaonyesha kabisa kuwa wananchi hawaridhiki na ukimya wa mzee na kutokemea watendaji wake, matokeo yake wanajitawala mno na kujenga ufisadi maofisini!..
Its high time he did something!
 
Taarifa kutoka kwa mmoja wa waandamanji ni kwamba sasa ivi wapo azania front wanataka kuzungumza na mwalasusa.
 
Mnunulie kamera kisha mpeleke chuoni kama unataka sana umbea
Hii ndio shida ya kuishi Uswazi!...Never serious!
Mtu unajua unasomeka na watu makini unaongea mambo ya Mnyamani-Mnyamani tu!..pisha watu wasonge!...utachanwa viwembe!
 
Taarifa kutoka kwa mmoja wa waandamanji ni kwamba sasa ivi wapo azania front wanataka kuzungumza na mwalasusa.

Hapo ndipo wanapoumbuka washabiki, kelele na kuchonga kumbe maandamano yanelekezwa kwa padre/askofu
 
Hapo ndipo wanapoumbuka washabiki, kelele na kuchonga kumbe maandamano yanelekezwa kwa padre/askofu

Mjepu,

Mbona unaharibu? Ni vema tuwe serious katika mambo serious!

Signature yako nadhani inasema mengi kuhusu akili yako:-

MKE WA MTU SUMU
 
Nimewaona ubungo mataa sikujua wanaelekea wapi.

Mh jamani Kikwete wanampa taabu kweli kweli, kila kona migomo. Haya!

Yeye ndiye anayetupa taabu.I don't think he cares.I think he is happy because this is just a means.The end is just around the corner.
 
Kuna kundi kubwa la wanafunzi wanaandamana kuelekea Ikulu wamebeba mabango na kuimba kwa sauti kubwa wakidai ada zao

... haya mambo hayatakiwi yafike huko. Solution ni rahisi mno kama HELA zipo kiu-kweli. HESLB ought to enter into a binding agreement with all Banks where STUDENTS can draw their money from deposits that are regularly remitted by HESLB into those Banks. Delays in remittance wont be a matter for Students but rather, between the Banks and HESLB as per agreements. As simple as that and that is what has been done elsewhere!!
 
Mjepu,

Mbona unaharibu? Ni vema tuwe serious katika mambo serious! [/B]

Hapo kitu serious nini? wanafunzi wa Tumaini wameandamana kwenda Ikulu? acha upumbavu kama una kitu cha maana nenda kafanye huu ni umbeya, udaku na uzushi mkubwa wale watoto wamekwenda kwa baba askofu Malasusa kuomba afueni ya ada na hawana ubavu wa kuandamana kwenda ikulu.
 
Yaliyotokea Misri taratibu yanajongea Bongo......
Kikwete wa ubongo wa fleva, aka mpigwa picha mashuhuri, uliyefanya urafiki na Jamaica ya wavuta bange pia na Marekani ya wala unga na mashoga, nakushauri ukimbie.....
Usikimbilie Msata wala Kisarawe, kimbilia kuleeeeee uliko kuwa ukibembea na kufija pesa zako.
Ila nakuonea huruma, watoto wako utamwachia nani???? Maana ni wengi, labda ndege zote, treni zote na magari yote yawavushe mipakani.

Nadhani anchekelea,kazi aliyopewa na "wakubwa"karibu inafikia tamati!
 
Kazi kweli kweli ngoja tungoje news kwa tv,radio one hawajainyaka nini iyo maana sijapata updates
 
Nguli jabali kamanda update.....tatizo la kuwa na simu ya tochi....ungekuwa na blackberry tungepata na picha
 
Back
Top Bottom