Maandamano Makubwa ya wanafunzi Posta kuelekea Ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano Makubwa ya wanafunzi Posta kuelekea Ikulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGULI, Feb 3, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kuna kundi kubwa la wanafunzi wanaandamana kuelekea Ikulu wamebeba mabango na kuimba kwa sauti kubwa wakidai ada zao
   
 2. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Go ahead,,,,,,,,,,,,,,,
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Baadhi ya mabango yanasomeka Tumaini University Peaceful demonstration
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Police mpaka sasa wanaonyesha ustaarabu kama wale wa Egypt hakuna aliepigwa kirungu wala police kuwasonga
   
 5. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimewaona ubungo mataa sikujua wanaelekea wapi.

  Mh jamani Kikwete wanampa taabu kweli kweli, kila kona migomo. Haya!
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  waaache waandamane tuu!
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Tayari defender imewafwata kwa nyuma ila police wanaoneka hawana silaha yeyote na wanachekacheka
   
 8. Paulo

  Paulo JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mambo ya misri yanakaribia nini?
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  thnks man kwa info.....update
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kweli kazi ipo sijui serikali ifanyeje!
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wananchi wenye mapenzi mema wakiwemo waosha magari na wasukuma mikokoteni wamewaunga vijana mkono hali ni ya amani sana wanaimba nyimbo za uchungu na wapita njia wanawapa maji ya kunywa
   
 12. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Yaliyotokea Misri taratibu yanajongea Bongo......
  Kikwete wa ubongo wa fleva, aka mpigwa picha mashuhuri, uliyefanya urafiki na Jamaica ya wavuta bange pia na Marekani ya wala unga na mashoga, nakushauri ukimbie.....
  Usikimbilie Msata wala Kisarawe, kimbilia kuleeeeee uliko kuwa ukibembea na kufija pesa zako.
  Ila nakuonea huruma, watoto wako utamwachia nani???? Maana ni wengi, labda ndege zote, treni zote na magari yote yawavushe mipakani.
   
 13. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri muda tu.... kwani yako njiani!!!
   
 14. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Sijaona Habari ya WANACHUO WA MUHIMBILI Walio fanya MAANDAMANO CHUONI Kwao...Labda ni kwa Kuwa Waandishi wa Habari walizuiwa getini.Moja wapo ya Madai yao yalikuwa :
  • Kubadilishwa kwa Mfumo wa Masomo bila Ushiriki Wao
  • Kutokuwa na Imani na Viongozi (Maandamano hayakuandaliwa na Serikali ya Wanafunzi ,yaliandaliwa na Wanafunzi wa Mwaka wa Tano)
  • Masuala ya Mikopo
  Naifurahia Sana Tanzania HII Kwani ni Dalili Kuwa Siasa za Tunisia na Misri zinakaribia.....na hii pengine ndiyo NJIA PEKEE ya kuleta Mabadiliko Nchini
   
 15. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Umeongea ukweli sana. This is not for pretending... Let them Mods know our altitudes and our understandings..... kama ni Ban acha watupige lakini tumechoshwa na utawala wa mabavu
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  serikali ilishasema matatizo yao yanasababishwa na BODI YA MIKOPO!
   
 17. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wawasindikize tu hadi huko ikulu, hakuna kitakachotokea. Wakianza kuwakamata watajitetea na kuwapiga mawe.
  Polisi wawe wapole tu mambo mdundo hadi ikulu. Nandivyo wanavyotakiwa kufanya siku zote
   
 18. k

  kakoko Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuonyeshe picha za tukio
   
 19. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Viva 4eva
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu sina camera na simu yangu ni ya tochi/ka-Nokia. Kuna kundi lingine sijui limetokea wapi naona linawafwata vija hawa hawaimbi wanapita tu, kwa sasa wakaribia BOT towers
   
Loading...