Wadau kwa mjibu wa radio kahama inayomilkiwa na mbunge wa kahama ccM ndugu Lembeli imetangaza kuwa kesho kutakuwa na maandamano ya kudai maji na umeme katika kijiji cha mwendakulima km 0.2 kutoka mgodi wa dhahbu wa buzwagi .<br />
Maandamano hayo yameratibiwa na wanharakati mbalimbali wa maendeleo na wapinga ufisadi ambapo yatapokelewa na mbunge mwenyewe , yatapitia njia gani sijui nitaendele kuwapa taarif kadri nitakavyokuwa nazipata<br />
nawasilisha<br />
source; radio kahama fm