Maandamano makubwa nchi nzima 28 April, 2014

Maandamano makubwa nchi nzima 28 April, 2014

hili swala zito sana,tutafakari kwanza,saw maandamano ni mazur ila ss yatakayo tokea hapo,utajuta kwanin ulienda,tutafakar kisha tuchukue hatua,lakn maandamano wengi wataumia
 
labda Arusha kwa vijana wanywa viroba wapiga bangi ungeenda uko mawazo yako mgando yangepata wafuasi mkiongozwa na Lema. pu-mba-fuuu!!!! mfua nguo za mama mshumbusi nyang'au mkubwa wewe.
Ivi Arusha ndio kuna vijana waliokosa maadili Tanzania nzima naomba tuheshimiane na uwaheshimu wananchi wa Arusha hata kama haukubaliani na baadhi yao KI-ITIKADI.
 
Alafu tukiandamana tuje kula kwenu? Alafu watanzania mnawaona wajinga eeh kila kitu chenye maslahi yenu manataka twandamane? Mahitaji muhimu yakipanda bei wala hatuwaoni mkisema twandamane? Acheni siasa za Matukio!
 
Je unaujua utamu wa maandamano? Kawaulize wamakonde wa mtwara na sera yao ya gesi haitoki. Kaandamane mwenyewe ukakutane na waliokunywa maji ya bendera uone mziki wake maana umesahau yale ya operesheni tokomeza ya kulazimishwa kuupa mimba mti na uite baby. Sitaki hata kusikia hayo maandamano yenu maana yatanifanya nishindwe kwenda job na wanangu washindwe kwenda shule kwa kweli namuomba mungu atakayeanzisha maandamano yamkute ya dr. Ulimboka.
 
Je unaujua utamu wa maandamano? Kawaulize wamakonde wa mtwara na sera yao ya gesi haitoki. Kaandamane mwenyewe ukakutane na waliokunywa maji ya bendera uone mziki wake maana umesahau yale ya operesheni tokomeza ya kulazimishwa kuupa mimba mti na uite baby. Sitaki hata kusikia hayo maandamano yenu maana yatanifanya nishindwe kwenda job na wanangu washindwe kwenda shule kwa kweli namuomba mungu atakayeanzisha maandamano yamkute ya dr. Ulimboka.

Wewe tatizo lako una tabia za kike ulizoambukizwa na ccm.maandamano kama kawa.
 
Habari ambazo hazijadhibitishwa ni kuwa Jeshi letu la wananchi JWTZ kwa kiwango kikubwa wanaunga mkono muundo wa serikali tatu. Sasa jee itakuwaje kama CCM watalazimisha muundo huu wa serikali mbili ambazo wanajeshi hawazitaki?
cc William Lukuvi
cc John Komba
ccMwigulu Nchemba
cc Nape Nnauye.
 
Katika karne hii masuala ya Jeshi kuchukua madaraka kwa nguvu yamepitwa na wakati, hata Nigeria waliokuwa wakiongoza kwa mapinduzi ya kijeshi wameshaacha. Hapa kwetu ni propaganda na vitisho tu, Jshi halityaweza kupindua Serikali na kutawala nchi kupitia mapinduzi.
 
Komba anaongea tu poroja,asikuumize kichwa,ataangia msituni,wakati mda wote anatumia kuuchapa usingizi mule bungeni.Team weka picha naomba mnisaidie kuweka picha ya kudhibitisha hili.
 
Kama hauogopi mabomu wewe nenda tu kaandamane.

Tena naomba waache ujinga wa kushawishi watu huu upuuzi wa kuandamana, posho wamekula wenyewe halafu leo hii wanaleta story za maandamano?
WAACHE WATU WAFANYE SHUGHULI ZA UZALISHAJI MALI MAANA WAO TAYARI WANA PESA ZAO, HADANGANYIKI MTU HAPA.
 
alafu tukiandamana tuje kula kwenu? Alafu watanzania mnawaona wajinga eeh kila kitu chenye maslahi yenu manataka twandamane? Mahitaji muhimu yakipanda bei wala hatuwaoni mkisema twandamane? Acheni siasa za matukio!

hili nalo neno!
 
big up chill,vitu vinapanda bei ovyo mbon hatuandaman
 
kuandamana ndo njia pekee ya kuexpress mawazo ya watu.Tanzania kamwe haitapiga hatua kwa kuwa na watu wa aina hii,watz wanaona kila kitu kipo sawa,ujinga tunao sana tubadilike.na viongozi wa siasa wanafanya wanavyotaka lakini sie kimya,kisa mtapigwa mabomu.

Acha mawazo ya kibwege wewe.kama mjini kunakukera si urudi kijijini kwenu moshi?. Tuacheni tule good time mjini makelele yenu huko huko kwenu eboo
 
Back
Top Bottom