Maandamano makubwa leo Arusha

Maandamano makubwa leo Arusha

Mwenyekiti hana maadili kabisa. Huyo ni mke wake yupi jois au kuna mwingine?

Ndoa zinawasumbueni sana wadada wa siku hizi! Mwenzio Vicky Kamata alizimia kabisa. Namshukuru Mungu nilizaliwj mwanaume!
 
Jangili Number One ni Charles Dankan ... anauhusiano gani na Nyalandu? Mila na Desturi zetu zinaruhusu? Anti Ezekiel aje hapa atufafanulie kama huo uhusiano unafaida kwa Watanzania ama laa!...
 
Siwezi kushiriki huo upuuzi nyalandu andamana mwenyewe na aunt ezekiel na faraja kota na wanao maana ndo mnafaidika na hap tembo pia kumbukeni kuandamana kuelekea kwa kinana......

Ungesikia maandamano ya Lema kupinga tembo kuuawa ungewahi kamanda! Ama kweli mmevurugwa.
 
Hakuna jambazi zaidi ya Lema katika jiji la Arusha

Kwa hiyo lemma ni zaidi ya hawa policcm? Kwa nn sasa hawa polis bado tunawalipa kwa kodi zetu huku tu lema kawashinda? Ccm wote manyani kweli!
 
anti ezekiel atakuwepo?

Jiji la Arusha litapata mtikisiko wa maandamano asubuhi hii yatakayoanzia Majengo, kuzunguka viunga mbalimbali vya jiji, hatimae kuishia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Kaluta. Maandamano hayo yameandaliwa na umoja wa waongoza watalii, Tato, na yataongozwa na Waziri Nyalandu. Lengo lake ni kupinga mauaji ya Tembo nchini.

Itakumbukwa kwamba mauaji ya tembo yamekuwa ni janga hapa nchini tangu uongozi mpya wa Chama cha mapinduzi uingie madarakani na licha ya watuhumiwa mbalimbali kutajwa, akiwemo Katibu mkuu wa chama hicho, bado takwimu zinaonesha Tembo mmoja anauawa kila siku nchini na itakapofika mwaka 2025 Tembo watakuwa historia hapa nchini.

Nawasihi wakazi wa Arusha na maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano haya na kulaani kwa nguvu zote mauaji ya Tembo wetu!
 
wapi nilipoandika imeniuma?

Mimi nimeweka kumbukumbu sahihi tu!

mkuu unajitahidi kujitetea wakati unafahanika unatoka chama cha wapuuzi, na wala rushwa... So hata wewe na mwenyekiti wako ni wap....zi
by kinana: Sisi ccm ni wapuuzi na chama chetu kina nuka rushwa.
 
ha ha ha ha ha daaa nimecheka hadi nimeshindwa kuchangia, kweli wananchi wamechoshwa
 
Back
Top Bottom