Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa


Mkuu uko sahihi nakubaliana na wewe,uweza wa mungu u pamoja nasi.
 
Hukumu ime2uuma,2na hasira na ccm,leo nimeikumbuka shahada yangu ya kufanyia mauaji,karibu tena kamanda lema
 
hakika ccm wanajizika wenyewe, hata mimi niliona tena huyo meya alikuwa akiongea kwa mbwembwe
huyu meya feki wa arusha ana kampuni za construction zilizokamata tenda za halmashauri.usikute hata huu ujenzi wa barabara arusha ana mkono wake hapo.
 
CCM ni mgonjwa ambaye yuko maututi amekata kauli iliyobaki ni rafu tu anatafuta mtu wa kufa naye
 
Na ilaaniwe CCM, kwa kuchakua hadi mahakamani. Kuna siku wizi na dhuluma zetu zitawamaliza pamoja na vizazi vyenu

Nadhani ifike mahala wananchi tutafute namna ya kuwatia adabu watu wanaotumia taaluma zao kuingiza hii nchi shimoni. Nina imani huyu Judge anaishi mitaani, anatembelea barabarani. Kuna haja ya kutafuta hata namna ya kumwajibisha na yeye. Hakika watu wametanguliza hela utafikiri wataishi millele. Kumbe ndo maana watu huwa wanajitoa mhanga. Huyu judge bado natafakari huenda nikaja na njia inayoweza kutumika kumtia adabu.
 
Nimesikiliza vilio vya wamama wa Arusha baada ya hukumu ya uonevu kwa bwana Lema; kwa kweli imenisikitisha sana na imeonyesha jinsi Lema anavyohitajika Arusha kuliko watawala wetu wanavyodhania. Machozi na sononeko la wamama hawa masikini havitawacha CCM wakiwa salama! Dhulumu haiwezi kushindana na haki!
 
hakika kama aishivyo Mungu tunayemwamini na kumtumikia natoa unabii huyu jagi sio jaji mvi zake hazitashuka kaburini kwa amani
 
Wanaarusha naomba pia mtafute njia ya kuwawajibisha wale waliofungua kesi mana inaonekana dhahiri kuna mkono wa rushwa. Huyo mzee anayejidai alikerwa na "matusi" afungue kesi basi kuhusu Lusinde na kampani yake. Vinginevyo watu wa namna hii hawastahili kuendelea kuishi ni hasara kwa taifa. Mungu wasaidie kujitambua
 
Jeshi la polisi limejipanga kwa uhuni wowote mtakaoufanya.
 
Waasisi na babu zetu walimwaga damu kukomboa nchi yetu toka kwa wakoloni!
Watanzania kadhaa wamemwaga damu kutukomboa mara ya pili toka udhalimu huu wa magamba!
MORE BLOOD WILL HAVE TO BE SHED kukamilisha ukombozi wa watanzania.
 

Damu zaidi inahitajika kurutubisha miche michanga ya ukomboz iliyo anza kuchipua!
 
Ndugu zangu wapiga kura wa jimbo la arusha,nawashauri tuanze kuzitafuta kadi zetu za kupigia kura zilipo na kama zipo katika wallet zetu basi tuzitoe na kuzificha majumbani ili zisipotee au kuibwa inapotokea wallet imepotea tayari kwa kuchimba kaburi jingine la chama cha mafisadi hapa arusha.Najua kabisa tume ya uchaguzi ya CHAMA CHA MAHAKAMA(ccm) itazuia watu waliopoteza kadi za kura kuandikishwa upya kama ilivyofanya arumeru magharibi ili kupunguza wapiga kura.Aidha watu wajitokeze kukagua majina yao mapema kwani hawa jamaa kupitia tume yao huwa wanabadilisha majina ya watu ili yatofautiane na majina yaliyopo katika kadi za kura ili kuzuia watu kutumia haki yao ya msingi ya kupiga kura.

TUHAMASISHANE KUANZIA SASA NA TUJITOKEZE KWA WINGI SIKU YA KURA ILI KUIADHIBU CCM ISIYO NAA HURUMA NA WATU WADOGO BALI IKIKUMBATIA MAFISADI.Hii ndiyo zawadi "PEKEE" wanayostahili kupewa na sisi wana jimbo la uchaguzi la Arusha Mjini.

Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Mkapa na watu wake wote ni waiziiiiiiiiiiiiii...... Majinga haya .................... Yasiyokuwa na hayaaa kafedhuli hayoooooooooooo hovyooooooooooooo!
 

Mkuu hapa arusha lema cc ndio tuliompa kura na na chadema arusha nihome hakuna gamba atakayepita hapa hata wakitumia wizi tutakufanao
 

Mkuu wangu kwa nini ulisema Lema atashinda hii kesi ya uchaguzi ukaweka na asilimia 99.99?
 
people's power lazima iwanyime usingizi,people's power ni sauti ya Mungu,kamwe Mungu hawezi kuwaacha watu wake wateketee,kwani hamkumbuki mapigo aliyoyapata Firauni alipotaka kuwazuia waisrael.Watahangaika sana lakini hawatashinda,huu ni mpango wa Kimungu zaidi kuliko hisia za binadamu
 
tuizike tena ccm, A town peoplessssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Hata na kikwete akija kwenye kampeni hamna ushindi kwa ccm
 
Mkuu wangu kwa nini ulisema Lema atashinda hii kesi ya uchaguzi ukaweka na asilimia 99.99?
Lema ameshinda kesi, ila hukumu iliyosmwa sio ya kesi aliyokua nayo ... Kahukumiwa kwa mambo ya Baada ya ubunge

Hata Hilo you need to be taught?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…