Maandamano makubwa Jumamosi Arusha

Maandamano makubwa Jumamosi Arusha

sisya

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
263
Reaction score
96
Jumamosi kutakuwa na maandamano makubwa yatakayo yaliyopangwa kitaalamu yatakayonzia mbauda,philps.sakina,kijenge,moshono sekei,ngulelo na katikati ya jiji.Maandamano hayo yataongozwa na viongozi wa UKAWA na Dini kulaani bunge la katiba kuchakachua maoni ya wananchi na kupitisha maoni ya ccm,wananchi wote tujitokeze kwa wingi hata polisi wajitokeze kwa wingi kwani hata wao maoni yao yamechakachuliwa.
 
Jumamosi kutakuwa na maandamano makubwa yatakayo yaliyopangwa kitaalamu yatakayonzia mbauda,philps.sakina,kijenge,moshono sekei,ngulelo na katikati ya jiji.Maandamano hayo yataongozwa na viongozi wa UKAWA na Dini kulaani bunge la katiba kuchakachua maoni ya wananchi na kupitisha maoni ya ccm,
wananchi wote tujitokeze kwa wingi hata polisi wajitokeze kwa wingi kwani hata wao maoni yao yamechakachuliwa
.
NAWASHAURI msiandamane kwani hata mm ni Mtanzania na nimeipenda RASIMU YA KATIBA
Kwa Arusha ni Jadi yenu kwani hamtakubali chochote kinachoamuliwa
nw wenzetu watakuwa wanasali kwani ni Sherehe
Maandamano
MAANDAMANO
MAANDAMANO
mwisho mnapata faida gani?
kwani KATIBA ikiwa mtakavyo ndio hamtaandamana
hebu MKUE SASA
 
Andamaneni hukohuko kwenu na chama chenu cha ukoo.
Ila nawashauri muwaambie viongozi wa ngazi za juu za kitaifa wawe mbele ili virungu vianzie kwao sio muwe mabwege kujipeleka mbele.
Kumbuka:-Ukipatwa na matatizo katika vurugu hizo ni wewe na familia yako,na kama una dem mzuri basi unapigwa kirungu cha kiuno unasizz watu wanachukua mtoto.
Tafakari chukua hatua.

Sie Zanzibar shwarrii na Waislam hatumooo kwenye Maandamano hayo,Ungesema tu ni baadhi ya wale aliowataja Mhemshimiwa sita.

Halafu tujiulize kwanini Chadema tu?mbona vyama vingine ikiwe CUF wao kimyaaaa na wakati ni UKAWA.

Huku Zanzibar hakuna hata mtu mmoja anaepiga tena zogo,mambo yameisha watu wanahangaikia maisha yao ya kawaida.
Maana tunaona haina haja ya kupiga zogo mitaani wakati mwisho wa siku ni sie ndio tutaamua tunaitaka au la,Sasa nini kupotezeana muda wa kuandamana.
Nyie mnasema katiba ya wananchi imekataliwa na imeundwa katiba ya kisiasa,sasa jibu ni moja,njooni mitaani mjenge hoja ya watu kuikataa kwa vigezo muhim.
Maana watu wameiona.Tatizo ni kwamba watu wameishiwa hoja,wanaishi kwa matukio,na wananchi wa siasa za miaka ya 1995 - 2000 sio wa sasa.
 
Unakimbilia wapi mkuu hebu rudi juu ukasome vzr uone kama kuna sehemu wameandka chadema wanaandamana au umekariri wakisema maandamano basi chadema
 
Washaigeuza UKAWA ni chadema. Hofu yao kubwa ni chadema maana zile mbinu walizotumia kuiua NCCR, TLP nk zimeshindikana kwa hiyo ni tishio sana kwao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbona mnalazimisha saaaana vitu visivyo wezekana? Kila siku kuna matangazo ya maandamano. Au ndio kuna kuhairisha kila siku? Kwanza maandamano yatasaidia nini?.

Umoja wa Tanzania ni Nguvu na Utengano ni Udhaifu!
 
Tutaandamana kuonyesha kutokukubaliana na wazo la unyonyaji, ukoloni mambo leo, ufisadi, na ukiritimba unaofanywa na ccm bara wakishirikiana na wenzao wa visiwani.
Kwahiyo nitaandamana kupinga wazo la ccm kutuona wa_Tanganyika wehu.
Andamaneni hukohuko kwenu na chama chenu cha ukoo.
Ila nawashauri muwaambie viongozi wa ngazi za juu za kitaifa wawe mbele ili virungu vianzie kwao sio muwe mabwege kujipeleka mbele.
Kumbuka:-Ukipatwa na matatizo katika vurugu hizo ni wewe na familia yako,na kama una dem mzuri basi unapigwa kirungu cha kiuno unasizz watu wanachukua mtoto.
Tafakari chukua hatua.

Sie Zanzibar shwarrii na Waislam hatumooo kwenye Maandamano hayo,Ungesema tu ni baadhi ya wale aliowataja Mhemshimiwa sita.

Halafu tujiulize kwanini Chadema tu?mbona vyama vingine ikiwe CUF wao kimyaaaa na wakati ni UKAWA.

Huku Zanzibar hakuna hata mtu mmoja anaepiga tena zogo,mambo yameisha watu wanahangaikia maisha yao ya kawaida.
Maana tunaona haina haja ya kupiga zogo mitaani wakati mwisho wa siku ni sie ndio tutaamua tunaitaka au la,Sasa nini kupotezeana muda wa kuandamana.
Nyie mnasema katiba ya wananchi imekataliwa na imeundwa katiba ya kisiasa,sasa jibu ni moja,njooni mitaani mjenge hoja ya watu kuikataa kwa vigezo muhim.
Maana watu wameiona.Tatizo ni kwamba watu wameishiwa hoja,wanaishi kwa matukio,na wananchi wa siasa za miaka ya 1995 - 2000 sio wa sasa.
 
NAWASHAURI msiandamane kwani hata mm ni Mtanzania na nimeipenda RASIMU YA KATIBA
Kwa Arusha ni Jadi yenu kwani hamtakubali chochote kinachoamuliwa
nw wenzetu watakuwa wanasali kwani ni Sherehe
Maandamano
MAANDAMANO
MAANDAMANO
mwisho mnapata faida gani?
kwani KATIBA ikiwa mtakavyo ndio hamtaandamana
hebu MKUE SASA

Ukwaju Huyoooooo!! kabold kabisa maandishi..
 
Last edited by a moderator:
lazima waandamane hela walizopewa na wafadhili za kuzuia katiba zimeliwa sasa wanataka kuwatupia wananchi wajinga kuwadhirihishia wafadhili kuwa wananchi hawakuiafiki katiba
 
Yaani hawana lolote maana hata hao wananchi wameishashutuka kwa sababu pesa wale wao maandamano wafanye walala hoi. Hii haingii akilini hata siku moja maana familia zao hawashiriki kwenye maandamano sasa walala hoi ndo wapigwe mabomu? Wamegonga ukuta safari hii.
 
Jumamosi kutakuwa na maandamano makubwa yatakayo yaliyopangwa kitaalamu yatakayonzia mbauda,philps.sakina,kijenge,moshono sekei,ngulelo na katikati ya jiji.Maandamano hayo yataongozwa na viongozi wa UKAWA na Dini kulaani bunge la katiba kuchakachua maoni ya wananchi na kupitisha maoni ya ccm,wananchi wote tujitokeze kwa wingi hata polisi wajitokeze kwa wingi kwani hata wao maoni yao yamechakachuliwa.

Mkuu karibu chai?
 
Andamaneni lakini msije mkajuta kwa kitakachotokea.

Najua mnachokiogopa nyie ni kifo ambacho usipokufa leo utakufa siku nyingine. Sisi tunachoogopa ni hatima mbovu ya watoto na wajukuu wetu kutokana na huu ujinga uliopitishwa bungeni. Tunaogopa rasimu ya Sita kuliko kifo
 
Unakimbilia wapi mkuu hebu rudi juu ukasome vzr uone kama kuna sehemu wameandka chadema wanaandamana au umekariri wakisema maandamano basi chadema

Maandamano hayo wajinga ndo waliwao, viongozi wala familia zao wanabaki home,
alafu nyie bendera fata upepo mnavunjwa viuno.
Tangulia wewe, hata huyo mbowe hatakuwepo
 
Nadhani ni wakati sasa wa wapinzani wabuni njia mbadala ya kupambana na hawa maccm,mpaka sasa binafsi cjaoana kama maandano yameleta matokeo yoyote chanya katika hizi harakati. Nina shauri vyama vyote vya upinzani waungane kuwa kitu kimoja wamsimamishe mgombea mmoja kwenye uchaguzi wa mwakani.
 
Sasa ni Mda wa wapuuzi CCM kutawala jukwaa! Na mlaaaniwe kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom