Maandamano makubwa Jumamosi Arusha

Maandamano makubwa Jumamosi Arusha

Maandamano hayo wajinga ndo waliwao, viongozi wala familia zao wanabaki home,
alafu nyie bendera fata upepo mnavunjwa viuno.
Tangulia wewe, hata huyo mbowe hatakuwepo

Mkuu kuwa mstaarabu basi, au unafikiri kukosoa kilichoandkwa ukajua ni mfuasi, usinichefue tafadhari na chunga mdomo wako jaribu kufikir kabla ya kuongea naomba upite hv.
 
Katiba inayopendekezwa ina mambo yote yamsingi kwa wananchi sina muda wa kudanganywa tayari nina copy naisoma mwenyewe. Nawashauri watanzania wenzangu kabla ya kuandamana Nawashauri muisome kwanza.
 
Katiba inayopendekezwa ina mambo yote yamsingi kwa wananchi sina muda wa kudanganywa tayari nina copy naisoma mwenyewe. Nawashauri watanzania wenzangu kabla ya kuandamana Nawashauri muisome kwanza.

...inafaa kufungia maandazi !!!
 
Najua mnachokiogopa nyie ni kifo ambacho usipokufa leo utakufa siku nyingine. Sisi tunachoogopa ni hatima mbovu ya watoto na wajukuu wetu kutokana na huu ujinga uliopitishwa bungeni. Tunaogopa rasimu ya Sita kuliko kifo

Nadhani ni jazba na hamaki tu hiyo, huwezi kuwa huogopi kifo haliyakuwa yuwajua fika huko huendako umetanguliza matendo yepi(mema/maovu) Sitaki kuamini kuwa huamini maisha badala kifo,na uwepo wa (Paradise and Hell fire)....
Lau ikiwa weye ni mchamungu basi ni imani yangu ya dhati kabisa huogopi kweli kifo, laakin kinyume chake ni porojo, jazba na hamaki tu za kupita.
 
usidanganye watu,mtaandamana mna uwezo. Tishia nyau tu.tulieni dawa iwaingie. Mnasusa wengine wanakula lakin INAUMA HIYO.
NA MTAPIGWA TU
 
Wakati huo mnaandamana wakuu wenu wapo busy na wake wao nyie mnakimbia na kukurupushana hovyo
 
Jumamosi kutakuwa na maandamano makubwa yatakayo yaliyopangwa kitaalamu yatakayonzia mbauda,philps.sakina,kijenge,moshono sekei,ngulelo na katikati ya jiji.Maandamano hayo yataongozwa na viongozi wa UKAWA na Dini kulaani bunge la katiba kuchakachua maoni ya wananchi na kupitisha maoni ya ccm,wananchi wote tujitokeze kwa wingi hata polisi wajitokeze kwa wingi kwani hata wao maoni yao yamechakachuliwa.

duh!ngoja nisubiri kituko hiki siku ikifika. viongozi wa UKAWA ni wanafiki na wasaliti wakubwa wa waamini wao. wanaitisha maanandamano ya mtaa kwa mta, cha kushangaza wao wanapanda ndege na land cruiser zao wanasepa. nani atawaongoza hawa waamini?

wameshindwa kusimamia maandamano ya nchi nzima wataweza ya mkoa mmoja? UKAWA wana ajenda zao za siri, yafaa wawaweke wazi waamini wao sio mbwembwe tu zisizo na tija.

UKAWA acheni kuwachuza wananchi wawili watatu wenye akili ndogo watakaounga mkono mawazo yenu madogo. cha kufanya hamasisheni wananchi wajipange wakati wa kuipigia kura. MAANDAMANO KWA SASA HAYANA MAANA, HATA ANAYEWATIA UCHIZI HUO ATAWASHANGAA SANA KWA KUSHINDWA KWENU KUSIMAMIA MAANDAMANO WAKATI WA MCHAKATO HALAFU MYAITISHE LEO MCHAKATO UMEISHA. JIPANGENI ACHENI KUKURUPUKA.
 
Jumamosi kutakuwa na maandamano makubwa yatakayo yaliyopangwa kitaalamu yatakayonzia mbauda,philps.sakina,kijenge,moshono sekei,ngulelo na katikati ya jiji.Maandamano hayo yataongozwa na viongozi wa UKAWA na Dini kulaani bunge la katiba kuchakachua maoni ya wananchi na kupitisha maoni ya ccm,wananchi wote tujitokeze kwa wingi hata polisi wajitokeze kwa wingi kwani hata wao maoni yao yamechakachuliwa.

Hii noma mimi sijiiii
 
watu wenye mawazo tofauti walikuwepo tangu enzi za kabla ya nyerere, kote duniani wapo na watakuwepo ila kikubwa ni kuwasubiri mapema mtaani wasifikiri wao ndio wa kwanza hapa bongo kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom