Kweli mgao wa umeme ni mkali sana umeme unakatika siku 2 ukirudi masaasita unawaka saa sita mpaka
aubuhi kumi na mbili basi. haki haiombwi inatafutwa lazima kieleweke.
Fridge zetu zote imebidi ziwemakabati maana kila kitu kimeoza na inabdi ugawe au sandakalawe.
hatuhami chadema wazime kabisa hio mitambo yao. pumbavu sana CCM