Maandamano makubwa Arusha tar 24/07/2011

nilikuwepo kwenye maandalizi na tumemtuma mmoja wa wananch kwenda Dom leo kuongea na wabunge wazalendo.
tunasema maisha ya utwiga tumeyachoka tumeamua kuwa nyati.kama noma na iwe noma 24/07/2011

Mkuu tarehe 24/7/2011 ni Jumapili mbona mmeamua kupanga siku hiyo au mmefanya hivyo deliberately kwani watu wengi watakuwa ibadani au mna strategy gani ya kuyafanya ili kuleta DESIRED IMPACT?
 
Mbona sijawasikia kuandamana kuhusu muafaka baina ya cdm na ccm kuhusu meya. Na tume ya Marando kimyaaa, maji ya shingo?
Zomba it seems uko mbali ma vyombo vya habari au ndio mnadandia mada msizozijua eti eee,leo ndio kinatoa tamko juu ya hilo unalolisemea bila kua na data
 
Nawashangaa wanazunguka wakati kila kitu kipo waz!!Chadema ni chama cha Vurugu
Ni chama cha vurugu kwa wasio penda haki, wanaokandamiza demokrasia na wakoloni wa sasa. Lakn kwa sisi wapenda haki na wazalendo wa nchi hii, kwetu sisi ni chama cha ukombozi. Hata mama yako na baba yako wanajua hivyo. Asante kwa kuzalisha pumba, mbwa na kenge wee, wewe ni chura kwenye maji yanayochemka, liccm litakufia bila kujijua. Punda wewe.
 
nilikuwepo kwenye maandalizi na tumemtuma mmoja wa wananch kwenda Dom leo kuongea na wabunge wazalendo.<br>tunasema maisha ya utwiga tumeyachoka tumeamua kuwa nyati.kama noma na iwe noma 24/07/2011<br>
mkubwa hebu tujulishe yataanzia wapi na kuishia wapi tujipange kimkakati si unajua polisi wanaweza wakazingua tujipange na mazana isije ikawa ka tar 5 jan walitutake by suprise yaani tusiwape chance hata kidogo
 
Naombeni jamani mtakao andamana, andamaneni kwa amani. Kwa lelote baya likijitokeza wataihusisha Cdm.
 
Wana jf, leo nilikuwa nasikiliza RADIO FIVE ya Arusha wananchi wenyewe bila kiongozi wa chama chochote wameazimia kuandamana hadi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa tarehe tajwa. Lengo la maandamano hayo ni kudai UMEME. Kwa mujibu wa wananchi walioohojiwa, maandamano hayo hayatahusisha chama chochote ili kuepuka kile kinachoitwa lawama kwa baadhi ya vyama hasa vya upinzani. Maandalizi yanafanyika kwa kutafuta kibali na hata kibali kisipopatikana wataandamana hata damu ikamwagika. Nafikiri ni kusubiri tuone.
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 24th June 2011
Posts : 2
Rep Power : 0


[h=2]
icon1.png
Maandamano makubwa Arusha tar 24/072011[/h]
Huyu ni CDM-kata nae kafunguka na thread yake
 
Nataka waandaaji watueleze kwa nini maandamano yafanyike Jumapili na KAMA TUTAKWENDA OFISI YA MKUU WA MKOA HIYO JUMAPILI NANI ATAKUWEPO wakati ofisi za serikali hazifunguliwi Jumapili?

Bila kufafanua hili nitaona hili tangazo limekaa kama la SIKU KUU YA WAJINGA
 
Naanza kuuöna mwanga wa mapambazuko kwa mbaaali, hatimae itafika mchana kila kitu kweupeee..I LOVE TANZANIA, I HATE MAFISADI(magamba)
 
Leo naona tangu jana saa kumi na mbili mpaka sasa umeme upo au mvua imenyesha kule mtera...?
Hamna! ujue kama si mtaa wa kumi kutoka kwako hawana umeme kutoka juzi, basi utakuwa ni mtaa wa saba hawana umeme tangu jana ndo maana unapata hata huo, ukae ukijua kuwa wakati wewe unapata huo umeme wa taa moja mwenzio kwingine anapigika. Tetesi ni kuwa BWAWA LA MTERA LIMEBAKIA NA MAJI YA KUJICHAMBIA MAVI TU! SASA WATZ NI UAMUZI NI WENU, MJICHAMBIE MAVI MAJI YALIYOBAKI MKOSE UMEME AU MZALISHE UMEME MKOSE MAJI YA KUCHAMBIA MAVI A friend of my enemy is my enemy too
 
Vipi mkuu umesharudi kutoka Igunga? nasikia ulikuwa kwenye ile orodha ya waliokodiwa kwa ajili ya kwenda kulia pale kwenye ule mkutano!,...... vipi wenzako waliozimia wameshazinduka?
Muulize na yeye alizinduka saa ngapi maana nilimuona wakati anaanguka kama gunia halafu hakupata msaada wowote wa kudakwa na ndo maana kichwa hakijamkaa fresh
 
Back
Top Bottom