fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 391
GB upo? Chochote kitakachofanyika ili mradi ni kudai haki zetu za msingi mtasema magwanda kwakuwa magamba wamechakachua na wanajisikia hatia mioyoni mwao basi wakiwaona wananchi wako kinyume nao wanafikiri ni magwandaSio kwamba wananchi semeni CHADEMA a.k.a Magwanda ndio wanao andaa wananchi kuandamana na kumwaga damu