Maandamano maandamano maandamano kupinga unyanyasaji wa polisi nchi nzima

wakuhurumia ni wananchi waliokosa huduma ya matibabu na cy bw ulimboka shit?
 
hatuandamani kupoteza muda tunaandamana kuwatoa madarakani, kwa sasa hivi haturudi nyumbani bila utawala mpya, wao nani?
 
Jamani lini vyama vya upinzani vitaanda maandamano mama dhidi ya polisi na vyombo vya dola kila siku ni mazungumzo na umbea wakati watanzania wenzetu wanachinjwa mtaani na CMM. Karibia miaka 20 ya multi party au hivi vyama na CCM ni moja
 
Maandamano kwa Dar es Salaam yataanzia karibu kituo cha Haki za binadamu nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii kesho saa tatu asubuhi mwambie na mwenzako kama yaliyowapata wapigania haki wengine yanakugusa tafadhali fika bila kukosa na huu ni mwanzo wa kuiambia serikali hakika tunaweza kuwaadabisha.

Utaiadabishaje serikali ambayo imewekwa kwa uchaguzi wa kidemokrasia,subirini 2015.
 
Back
Top Bottom