Ingekuwa arusha yangepata mwitikio wa nguvu......dar huwa wanatuangusha sana afu mie inaniuma sana kwa nini hawaoni umuhimu wa kumwondoa JK ......misri, tunisia na kwingineko wameweza wana nini na sisi tunashindwa tuna nini?......yaani inabidi ifike mahali watu waachane na keyboard zao wafanye kwa vitendo......kukesha jf na kulalamika peke yake hakumnyimi JK usingizi......shime watanzania wakati wa kuamka ni sasa.....leo ni Dr. Ulimboka , kesho waweza kuwa wewe au nduguyo wa karibu!.....walaaniwe wote waliomtenda huyu baba kwasababu tu anadai haki yake!sure humu ndani watu wengi ni wanatabia ya kunguru
Nani kaandaa hayo maandamano?
wananchi
Maandamano kwa Dar es Salaam yataanzia karibu kituo cha Haki za binadamu nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii kesho saa tatu asubuhi mwambie na mwenzako kama yaliyowapata wapigania haki wengine yanakugusa tafadhali fika bila kukosa na huu ni mwanzo wa kuiambia serikali hakika tunaweza kuwaadabisha.
Mkuu ni wananchiNani kaandaa hayo maandamano?
Serikali ijishtaki yenyewe kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!Sitaki niamini kama hii thread imeungwa mkono watu kupenda yatokee ya huko Syria kufanya maandamano. Ningependa sheria ichukue mkondo wake kwa yeyote aliyehusika kwa udhalimu dhidi ya Dr. Ulimboka, lakini siungi mkono maandamano. Maandamano sio njia stahili ya kutafuta haki.